UK to send Nuclear Submarine, Commandos to the Gulf

UK toka waanze na mambo ya kua na serikari chini ya waziri mkuu, wamefeli Sana..... Enzi za familia ya kifalme ikifanya kila kitu walikua na nguvu Sana
Duuu kumbe, tupe historia kidogo, ni lini? Na ilikuaje hadi kuachana na utawala Wa familia
 
Dah! England mtoto!!!!

Manowari mbili tu ziitosha agentina kwenye mzozo wa visiwa vya fokland.
 
Nibora ubakie kuhistoriwa Kuhusu vita
sio vyakuombewa baki na utoto wako huo huo
 
Tatizo ni Trump kutowapiga Iran siku wamedondosha dege letu

Ndo maana huwa nampenda Israel yeye hatanii
 
Duuu kumbe, tupe historia kidogo, ni lini? Na ilikuaje hadi kuachana na utawala Wa familia
Chini ya Familia ya kifalme, walimiki dunia... Just take a look kwa sasa kila siku mawaziri wakuu wanajiuzulu tu kwa changamoto ndogo.
Kama unataka history ngoja niandike kwa kirefu
 
Hivi UMEFIKIRIA nini KUBANJUKA uwongo huu. Kwamba US hana power hana assets?? Naona umechangankiwa. Bajeti ya us inaweza kuwa mara kumi ya ya IRAN. Military statistics za us Ni number moja, Iran wala haupo kwenye kumi bora.
 
Irani walichomwambia UK aachie meli yao waliyoishikilia Giblater kama sijakosea spelling kisha nao wataiachia hiyo tanker
 
Sasa kama hiyo nuclear powered sub haiwezi kuingia Persian gulf so imetumwa iende wapii? Au Indian ocean??
 
waziri mkuu mtarajiwa wa UK,amesema leo ili wapambane vyema na iran,inabidi waanze kuunda manowari zaidi,maana yake UK hama manowari za kutosha,anazo chache tu,watu twitter wanamkejeli na kudai sasa hadi akaunde mimeli mgogoro upo tu unamsubiri,na hela itatoka wapi?
 
Kawajibu kiutu uzima kwamba , vita kati ya U.K na IRAN ni kwamba hakuna vita hapo
 
Lakini wamarekani wa mtongole wanakuambia wanajua siri zote za jeshi la Uk
 
Hivi UMEFIKIRIA nini KUBANJUKA uwongo huu. Kwamba US hana power hana assets?? Naona umechangankiwa. Bajeti ya us inaweza kuwa mara kumi ya ya IRAN. Military statistics za us Ni number moja, Iran wala haupo kwenye kumi bora.
unaambiwa ni UK sio US. Kuna nchi inaitwa Uk na ingine US.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…