UK offers work permit to non-graduate Kenyans

Kevin85ify

JF-Expert Member
Apr 6, 2019
2,685
3,429
Highly skilled Kenyans without degree-level qualifications will from next year be allowed to apply for work permits in Britain under post-Brexit immigration rules, enabling them to compete with job-seekers from the European Union and other regions.

Britain’s new points-based immigration system, set to be implemented from January 2021, has lowered the requirement for job applicants to minimum skill level of A-level or equivalent from degree-level under the 27-member EU bloc system.

Britain’s Home Office says the new system will “provide greater flexibility and ensure UK business has access to a wide pool of skilled workers”.

The relaxed visa rules will enable Kenyan professionals in fields such as IT, accountancy, plumbing and electrical works to compete with other migrants.

Britain projects a huge climb in job vacancies after the new post-Brexit immigration system ended free movement of labour between it and the EU following the departure from the bloc earlier this year.
 
Kenyans are always sought-after, we are skilled, aggressive, industrious, assertive, self-driven, brilliant, inspired, motivated, passionate, eloquent etc etc I can go on and on to explain and demonstrate why we are always far ahead of others in this region.
 
Hizi mbwembwe hizi,lakini tuliona mchina akiwacharaza bakora,na maujuzi yenu mumias sugar mmeshindwa kuiendeleza, sukari, mahindi mnaagiza nje!

Sasa nyie na kizungu chenu, mbona mchina asiyejua kizungu, kawapiga kwenye SGR mnalia lia
 
Highly skilled Kenyans without degree-level qualifications will from next year be allowed to apply for work permits in Britain under post-Brexit immigration rules, enabling them to compete with job-seekers from the European Union and other regions.

Britain’s new points-based immigration system, set to be implemented from January 2021, has lowered the requirement for job applicants to minimum skill level of A-level or equivalent from degree-level under the 27-member EU bloc system.

Britain’s Home Office says the new system will “provide greater flexibility and ensure UK business has access to a wide pool of skilled workers”.
The relaxed visa rules will enable Kenyan professionals in fields such as IT, accountancy, plumbing and electrical works to compete with other migrants.
Britain projects a huge climb in job vacancies after the new post-Brexit immigration system ended free movement of labour between it and the EU following the departure from the bloc earlier this year.
Acha uzwa zwa ww hili lina husu raia yeyote ambe sio UK citizen anaweza kupata iyo work permit na hil ni baada ya UK kujitoa EU.. Boyaaaa ww

Baada ya Uk kujitoa EU wajarabu ku maintain mahusiano yao na mataifa mengine kama kawaida na kujaribu ku win opportunities zingine ss ww sijui. Unajifanya nyie ni special sana wakati juzi hapa Tz balozi mpya wa UK pia ametanga fursa kama izo kwa wa tz after angaa kufunguliwa yaan
 
Wacha kujiliwaza, watanzania hawachapi kazi na kizungu ni shida. Haya jionee kwenye hii video hapa kwanini makampuni ya UK yanakuja moja kwa moja hadi vyuo vya Kenya, ilhali wako na wazungu wao wa Poland na Romania.

Jionee jinsi wakenya kutoka utalii college wanachukuliwa wakiwa bado chuoni kuenda Jersey. Nao wana simamia hoteli karibu zote hapo jersey island. Wanachukuliwa direct kutoka Kenya.

Hata hapo Tanzania managers wengi wa mahoteli za watalii ni wakenya
 
Usife roho labda siku moja mukianza kuelewa na kuzungumza kiingereza vizuri, kisha muwe na elimu ya kuwawezesha kuwa na utendakazi ya wakenya, labda pia nyinyi mutachukuliwa. Lakini kwa sasa masomo yenyu hafifu haitoshi mboga kwenye jukwaa la ulimwengu.
 
Ww sijui unafikiria kwa makalio ...iv UK ni new jersey ? Uzi wako unazungumzia UK we unasema new jersey ...
 
Usife roho labda siku moja mukianza kuelewa na kuzungumza kiingereza vizuri, kisha muwe na elimu ya kuwawezesha kuwa na utendakazi ya wakenya, labda pia nyinyi mutachukuliwa. Lakini kwa sasa masomo yenyu hafifu haitoshi mboga kwenye jukwaa la ulimwengu.
Utaishia ivyo ivyo lkn nafas kama izo wa bongo wapo
 
Usife roho labda siku moja mukianza kuelewa na kuzungumza kiingereza vizuri, kisha muwe na elimu ya kuwawezesha kuwa na utendakazi ya wakenya, labda pia nyinyi mutachukuliwa. Lakini kwa sasa masomo yenyu hafifu haitoshi mboga kwenye jukwaa la ulimwengu.
Sasa mnachukuliwa kwenda kuwasafisha wazee wa kizungu na kuwaosha ndio unaona ufahari? Tanzanians cannot work under those conditions. Nyie endeleeni kuwa watumwa wa Waingereza.
 
..,"The relaxed visa rules will enable
Kenyan professionals in fields such as
IT, accountancy, plumbing and
electrical works
to compete with other
migrants"....
Key word: Highly skilled.
 
..,"The relaxed visa rules will enable
Kenyan professionals in fields such as
IT, accountancy, plumbing and
electrical works
to compete with other
migrants"....
Key word: Highly skilled.

Yes but it is not necessarily Kenyans, the opportunity is open to all qualified...highly skilled. I thought it is a privilege granted to Kenyans only.
 
..,"The relaxed visa rules will enable
Kenyan professionals in fields such as
IT, accountancy, plumbing and
electrical works
to compete with other
migrants"....
Key word: Highly skilled.
Those jobs are already full. Unless you have never been to UK then you can argue all you want. Ask your fellow Kenyans who are in the UK, they will tell you exactly what I am telling you. Good luck, highly skilled my foot!
 
..."Britain projects a huge climb in job vacancies after the new post-Brexit
immigration system ended free
movement of labour between it and the
EU following the departure from the
bloc earlier this year"... Be more attentive and you might just get the gist of the matter.
 
Soma tena taarifa ya mada.
The relaxed visa rules will enable Kenyan professionals in fields such as IT, accountancy, plumbing and electrical works to compete with other migrants.

Nimesoma kwa makini sana, ndio nakuuliza, hiyo fursa umeambiwa ipo kwa wakenya tu?
Nakubali na najua wakenya wachakarikaji na wanajituma sana sihitaji kuambiwa na mtu hilo kwa sababu nimefanya nao kazi miaka zaidi ya sita.

Tatizo ni jinsi ilivyoletwa hapa kana kwamba mataifa mengine hawana hiyo nafasi. Nafikiri tumeelewana.
 
bro, this is more like a through pass to Kenyans. which skills do Tanzanians have apart from singing Bongo Flava?

Can you try to make the discussion more credible by bringing critical issues than leveraging on trivial stuffs?

My question is very simple, don't even mention Tanzania. Is the opportunity granted to Kenyans only?
 
Back
Top Bottom