Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
..otherwise.....
Ukisema Mahakama ya Tanzania haiwezi kufanya hivyo nitakuelewa...lakini mahakama zinazoheshimu utu wa watu na ambazo zinatetea haki za watoto anything is possible. Jamani kanisa katoliki needs to come clean on this
Lakini mapadre walio wadhalilisha watoto si wanajulikana?? Kwa nini wasishughulikiwe wao kwanza. Hili la papa kuchelewa kutoa maamuzi ni kwamba alikuwa analinda umoja na heshima ya kanisa lake, lakini ndiyo hivyo sasa limejulikana, anatakiwa ajibu. Ama kweli.............................. kipofu kumwongoza kipofu mwenziwe ni kutumbukia katika korongo.....Jesus Christ.