Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Dec 13, 2019 #21 Boris Johnson is winning by majority, Corbyn has declared to quit his position as a Labour Leader.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,591 Dec 13, 2019 #22 Namuona Trump akishinda 2020 Sent using Jamii Forums mobile app
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,396 Reaction score 73,091 Dec 13, 2019 #23 Nyani Ngabu said: Hivi kwani sisi tuna hizo itikadi? Click to expand... ..ni kweli hatuna hizo itikadi. ..lakini kwa uelewa wangu Tz tuna historia ya kuwa na urafiki na serikali za Labor party kwa upande wa Uingereza, na Democrats kwa upande wa Marekani. ..sasa wanapotokea uv-ccm na kuanza kushabikia chama cha Conservative naona kama hawaelewi vizuri historia yetu. ..Au kuna wengine humlilia Muamar Gaddafi wakisahau kwamba ktk vita vya Kagera Gaddafi alikuwa upande wa Iddi Amin.
Nyani Ngabu said: Hivi kwani sisi tuna hizo itikadi? Click to expand... ..ni kweli hatuna hizo itikadi. ..lakini kwa uelewa wangu Tz tuna historia ya kuwa na urafiki na serikali za Labor party kwa upande wa Uingereza, na Democrats kwa upande wa Marekani. ..sasa wanapotokea uv-ccm na kuanza kushabikia chama cha Conservative naona kama hawaelewi vizuri historia yetu. ..Au kuna wengine humlilia Muamar Gaddafi wakisahau kwamba ktk vita vya Kagera Gaddafi alikuwa upande wa Iddi Amin.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,396 Reaction score 73,091 Dec 13, 2019 #24 Kilatha said: JokaKuu, Nani anamlilia Ghadafi, hakuna mtu JF anaeweza kuongea siasa za UK na mtu kama mimi. Aje Asha Migiro pamoja na nafasi yake ya UN, Chahali au Kalaghe. Science ya siasa za UK wote hao hawazielewi. Click to expand... ..asante. ..mbona kuna viongozi wakubwa hapa Tz wanadai Gaddafi alikuwa kiongozi mzuri hakutakiwa kupinduliwa? ..hata hapa Jamii forums kuna wachangiaji wengi tu wanaoonyesha kumkubali na kumuenzi Gaddafi.
Kilatha said: JokaKuu, Nani anamlilia Ghadafi, hakuna mtu JF anaeweza kuongea siasa za UK na mtu kama mimi. Aje Asha Migiro pamoja na nafasi yake ya UN, Chahali au Kalaghe. Science ya siasa za UK wote hao hawazielewi. Click to expand... ..asante. ..mbona kuna viongozi wakubwa hapa Tz wanadai Gaddafi alikuwa kiongozi mzuri hakutakiwa kupinduliwa? ..hata hapa Jamii forums kuna wachangiaji wengi tu wanaoonyesha kumkubali na kumuenzi Gaddafi.
Bwana Utam JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 20,576 Reaction score 38,169 Dec 13, 2019 #25 JokaKuu said: ..asante. ..mbona kuna viongozi wakubwa hapa Tz wanadai Gaddafi alikuwa kiongozi mzuri hakutakiwa kupinduliwa? ..hata hapa Jamii forums kuna wachangiaji wengi tu wanaoonyesha kumkubali na kumuenzi Gaddafi. Click to expand... Ghadafi Aaweza Kua alikua Kiongozi Mbaya Kwako Ama Kiongozi Mbaya Wakati alipomsaidia Eti Aliekua Adui Wa Tanzania Wakati Wavita Ila Haimaanishi Yakwamba Gadafi Alikua Mbaya Kwa AFRICA Nzima Unataka Kutuaminisha Eti Machafu Aliyoyafanza Ghaddafi Kwa TZ Tu Ndio Yafute Masafi Yake Yote Aloyafanya Kwengine AFRICA!!??... Sent using Jamii Forums mobile app
JokaKuu said: ..asante. ..mbona kuna viongozi wakubwa hapa Tz wanadai Gaddafi alikuwa kiongozi mzuri hakutakiwa kupinduliwa? ..hata hapa Jamii forums kuna wachangiaji wengi tu wanaoonyesha kumkubali na kumuenzi Gaddafi. Click to expand... Ghadafi Aaweza Kua alikua Kiongozi Mbaya Kwako Ama Kiongozi Mbaya Wakati alipomsaidia Eti Aliekua Adui Wa Tanzania Wakati Wavita Ila Haimaanishi Yakwamba Gadafi Alikua Mbaya Kwa AFRICA Nzima Unataka Kutuaminisha Eti Machafu Aliyoyafanza Ghaddafi Kwa TZ Tu Ndio Yafute Masafi Yake Yote Aloyafanya Kwengine AFRICA!!??... Sent using Jamii Forums mobile app
Ruge Opinion JF-Expert Member Joined Mar 22, 2006 Posts 1,838 Reaction score 707 Dec 13, 2019 #26 babu M said: Corbyn was accused of anti-Semitism pia. Click to expand... What is the big deal about anti-Semitism? It is like any leader in the Western world has to express love for Jews in order to succeed in politics. What makes Jews so influential? Sent using Jamii Forums mobile app
babu M said: Corbyn was accused of anti-Semitism pia. Click to expand... What is the big deal about anti-Semitism? It is like any leader in the Western world has to express love for Jews in order to succeed in politics. What makes Jews so influential? Sent using Jamii Forums mobile app
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,396 Reaction score 73,091 Dec 13, 2019 #27 Bwana Utam said: Ghadafi Aaweza Kua alikua Kiongozi Mbaya Kwako Ama Kiongozi Mbaya Wakati alipomsaidia Eti Aliekua Adui Wa Tanzania Wakati Wavita Ila Haimaanishi Yakwamba Gadafi Alikua Mbaya Kwa AFRICA Nzima Unataka Kutuaminisha Eti Machafu Aliyoyafanza Ghaddafi Kwa TZ Tu Ndio Yafute Masafi Yake Yote Aloyafanya Kwengine AFRICA!!??... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ..Gaddafi aliua askari wetu. ..hakuna justification ya Mtz yeyote yule kumshabikia au kusikitikia kifo chake.
Bwana Utam said: Ghadafi Aaweza Kua alikua Kiongozi Mbaya Kwako Ama Kiongozi Mbaya Wakati alipomsaidia Eti Aliekua Adui Wa Tanzania Wakati Wavita Ila Haimaanishi Yakwamba Gadafi Alikua Mbaya Kwa AFRICA Nzima Unataka Kutuaminisha Eti Machafu Aliyoyafanza Ghaddafi Kwa TZ Tu Ndio Yafute Masafi Yake Yote Aloyafanya Kwengine AFRICA!!??... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ..Gaddafi aliua askari wetu. ..hakuna justification ya Mtz yeyote yule kumshabikia au kusikitikia kifo chake.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,512 Reaction score 146,009 Dec 13, 2019 #28 JokaKuu said: ..Gaddafi aliua askari wetu. ..hakuna justification ya Mtz yoyote yule kumshabikia au kusikitikia kifo chake. Click to expand... Ni kweli aisee! Ila ndo hivyo tena. Ukitaka ku-reason na baadhi ya watu kuhusu huyo Gadafi wala hutaeleweka.
JokaKuu said: ..Gaddafi aliua askari wetu. ..hakuna justification ya Mtz yoyote yule kumshabikia au kusikitikia kifo chake. Click to expand... Ni kweli aisee! Ila ndo hivyo tena. Ukitaka ku-reason na baadhi ya watu kuhusu huyo Gadafi wala hutaeleweka.