Mtimti
JF-Expert Member
- Feb 23, 2008
- 942
- 649
Mkuu hao estern European hawatakiwi hivi sasa wanaangalia zaidi kutoka commonwealth countries.
Cameron inabidi awaambie waingereza wafanye kazi. ...apunguze benefits tu....hata hizo commonweath countries kwani zinaingia kwa urahisi hapa?....