RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 196
Ikiwa ni muda mfupi tu toka serikali mpya ya mseto kuundwa UK, David Laws ambaye ni Chief Secretary to the Treasury amejiuzuru kufatia tuhuma za kutumia fedha za Umma katika matumizi binafsi hasa gharama za nyumba za 'mwezi wake wa muda mrefu'.
Imegundulika pia kuwa David ni shoga na amekiri alikuwa akijaribu kulinda na kuficha sexuality yake
Imegundulika pia kuwa David ni shoga na amekiri alikuwa akijaribu kulinda na kuficha sexuality yake