Mwanaharakati16
Member
- Jul 31, 2022
- 21
- 21
Habari Wakuu
Aisee Mimi nimekuwa nikifanya biashara Instagram kwa kutumia hizi Instagram sponsored ad na kuzifanyia malipo lkn kutokana na changamoto za maisha nmeyumba nakuja kucheki nina deni kama la 300 dollar na mfukoni sina kitu
Hivyo nimeona huko Instagram watu wanasema uwalipe laki 2 au elfu 50 ili wanisaidie kutatua changamoto na mimi hela sina saivi hvyo nashidwa hata msimbazi sina
Naomba sana yoyote mwenye ujuzi anisaidie ili niweze kukwepa deni baadae nitalilipa japo nipige hata sponsor ad ya dollar 30 nijisogeze hali ni mbaya.
Natanguliza shukrani zangu kwenu wakuu