It seems ni mtu wa mazoezi sana..!Huyo ni mzee kweli..? mbona body kama rais wa wasafi
Wapo watu wazima kama hao, nishakutana nao mazoezini mara kadhaa. Nafikiri, ameanzia ujanani hivyo hawezi kuacha kirahisi.mie mwenyewe sijaamini
Anaitwa Abdullahman enzi ya timu moja inaitwa Shujaa, in long timenani huyu