Ujumbe Wangu Wa Leo Part2

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Ujue humu ndani ya jamiiforums hatujuani kwa sababu ya kutumia avatar na majina fake .Lakini cha uzuri na cha kufurahisha tunajuana vizuri kabisa kwa kusema na kupost MAWAZO YA SIYO FEKI .AMIN AMIN nakuambia kuna wengine wakiwa majumbani kwao wanaongea ustaarabu kweli wanaonekana wazee wa heshima lakini akiwa humu anaongea pumba tu Kwa kweli humu tabia ya mtu haijifichi kila tabia ya mtu unafichuliwa humu. Kuna wengine kwenye jamii wa kimya kweli lakini wakisha jitupa humu swaga na mbwembwe kibao .Yaani ni furaha tupu .Nawaonea huruma mnaotumia majina yenu halisi mnaongea kwa kujibanabana na kujificha ukihofia nikisema hiki fulani atanichukuliaje .Sisi wenzenu hatujifichi kama vile tulivyo ndipo tujionyeshavyo . Wakati mwingine unaweza ukamkuta --------------- akiwa kwenye MJI ULE ULIO SITIRIKA unaweza kujiuliza huyu mtu anataka nini kwenye huu mji mbona hastaili.Lakini jamiiforums ni kama mwanga inafichua tabia ya kila mtu.Siku ikitokea kila ID jina lake halisi ikatambulika sijui itakuwaje.MESSAGE WAS SEND.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…