Kama charminglady? Afu ile ishu nitume ktk namba yako?
Ukimpenda mtu kwa moyo wako wote, akakusaliti
na kukuvunja moyo usiendelee kujitesa na
kujiharibu kwa pombe, sigara au mahusiano ya
kulipiza kisasi. Hukufanya kosa kupenda, endelea
kujipenda, jitunze, jijenge na wala usizime ndoto
zako. Ili uendelee kunawili, kufurahi na kuishi kwa
amani moyoni. Wapo watakaokuona ukitabasamu
watazani kila kitu safi kumbe ulishamkabidhi
Mungu ili yeye akuletee rafiki mwenye upendo wa
dhati
Kumbe ule ushauri wangu uliufanyia kazi eh....!
Wewe ni mwanafunzi mzuri sana wa UTAMBUZI na usichoke kumfundisha charminglady................
Asante C6 kumbe uwaga na busara wakati mwingine, huo ushauri nishaufata na naona maisha yangu yameenda vizuri na Mungu anafanya kazi yake. Ukijikondesha kwa mawazo wala haitasaidia kureplace kilichopotea, dawa ya matatizo ya mapenzi ni ku move on with a positive attitude ni kitu kizuri sana
Ukimpenda mtu kwa moyo wako wote, akakusaliti
na kukuvunja moyo usiendelee kujitesa na
kujiharibu kwa pombe, sigara au mahusiano ya
kulipiza kisasi. Hukufanya kosa kupenda, endelea
kujipenda, jitunze, jijenge na wala usizime ndoto
zako. Ili uendelee kunawili, kufurahi na kuishi kwa
amani moyoni. Wapo watakaokuona ukitabasamu
watazani kila kitu safi kumbe ulishamkabidhi
Mungu ili yeye akuletee rafiki mwenye upendo wa
dhati
pole, nashukuru kama ujumbe huu umekupa faraja kwa namna moja au nyingine, tuzidi kutiana moyo na kufarijiana huku tukijikabidhi maisha yetu kwa Aishie mahali pa juu zaidi...