Ujumbe wangu kwenu...

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,396
Ukimpenda mtu kwa moyo wako wote, akakusaliti
na kukuvunja moyo usiendelee kujitesa na
kujiharibu kwa pombe, sigara au mahusiano ya
kulipiza kisasi. Hukufanya kosa kupenda, endelea
kujipenda, jitunze, jijenge na wala usizime ndoto
zako. Ili uendelee kunawili, kufurahi na kuishi kwa
amani moyoni. Wapo watakaokuona ukitabasamu
watazani kila kitu safi kumbe ulishamkabidhi
Mungu ili yeye akuletee rafiki mwenye upendo wa
dhati
 
Ukiona hivyo ujue yamekukuta Mpwa, pole zako mwaya japo za kimya kimya tu. Nilishawahi kuumizwa vibaya sana na mimi likamuumiza mtu, sikupenda kufanya hivyo lakini pia sikua na jinsi, bado naendelea kutubu
 
Hi inaukweli kwa asilimia 99.5% na imeshanikuta mimi binafsi ni swala lakumuomba mungu tu INAUMIZA SANA HII KITU AND THEN WHEN U MOVE FORWADR HUYU HUYU ANATAKA KUKUHARIBIA KUJIFANYA ALIKUPENDA PIA UMEMKATAA BILA KUKUMBUKA ALIYOKUTENDEA DA ,IMENIKUMBUSHA SANA ,MAISHA NILIYOPITIA MUNGU MWENYEWE ANAJUA
 
Ukimpenda mtu kwa moyo wako wote, akakusaliti
na kukuvunja moyo usiendelee kujitesa na
kujiharibu kwa pombe, sigara au mahusiano ya
kulipiza kisasi. Hukufanya kosa kupenda, endelea
kujipenda, jitunze, jijenge na wala usizime ndoto
zako. Ili uendelee kunawili, kufurahi na kuishi kwa
amani moyoni. Wapo watakaokuona ukitabasamu
watazani kila kitu safi kumbe ulishamkabidhi
Mungu ili yeye akuletee rafiki mwenye upendo wa
dhati

Ujumbe murua mkuu, mbona jumatatu hii umeamka na maakili mengi sana!?? nini siri ya mafanikio?? Somo limeeleweka pasi na mawawa:A S 11:
 
Aksante sana C6 ubarikiwe kwa neno hili liletalo uzima katika mahusiano. Tukumbuke kuwa kuvunjika kwa koleo, sio mwisho wa uhunzi!
 
Last edited by a moderator:
Asante C6 kumbe uwaga na busara wakati mwingine, huo ushauri nishaufata na naona maisha yangu yameenda vizuri na Mungu anafanya kazi yake. Ukijikondesha kwa mawazo wala haitasaidia kureplace kilichopotea, dawa ya matatizo ya mapenzi ni ku move on with a positive attitude ni kitu kizuri sana
 
ungesema hivi, kumbe uwa unajifanya mwendawazimu wakati una busara namna hii
 
Last edited by a moderator:
Huu ujumbe nimeupata wakati muafaka..! Thank you!!

pole, nashukuru kama ujumbe huu umekupa faraja kwa namna moja au nyingine, tuzidi kutiana moyo na kufarijiana huku tukijikabidhi maisha yetu kwa Aishie mahali pa juu zaidi...
 
Ukimpenda mtu kwa moyo wako wote, akakusaliti
na kukuvunja moyo usiendelee kujitesa na
kujiharibu kwa pombe, sigara au mahusiano ya
kulipiza kisasi. Hukufanya kosa kupenda, endelea
kujipenda, jitunze, jijenge na wala usizime ndoto
zako. Ili uendelee kunawili, kufurahi na kuishi kwa
amani moyoni. Wapo watakaokuona ukitabasamu
watazani kila kitu safi kumbe ulishamkabidhi
Mungu ili yeye akuletee rafiki mwenye upendo wa
dhati

Thanks. Maneno ya kutia moyo sana!
 
pole, nashukuru kama ujumbe huu umekupa faraja kwa namna moja au nyingine, tuzidi kutiana moyo na kufarijiana huku tukijikabidhi maisha yetu kwa Aishie mahali pa juu zaidi...

Aaaaamen.!! Asante sana!!
 
Similar Discussions

28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom