Ujumbe wangu kwenu

Hizi ni hekima za watu wa ccm na amini wewe ni mmoja wa wanachama waaminifu wa chama chetu hongera sana kwa kujitambua
 
Khaaa... Uchoyo hauna cheti
Mkuu kuna dawa flani inaitwa "ndele"
Ninayo nitakuletea bure tu, kwa vile wewe ni best friend: inasaidia sana kupata bahati za kupendwa na watotoz

Mfano; huna haja ya kutongoza, yani wanakuja wenyewe. Au kama mtu anakunyima mdogo wake, anakwambia "hivi daby si ulikuwa unamtaka mdogo wangu" nikuletee au nikupe namba yake?[emoji23][emoji23]
 
Aseeh itabidi unipatie hiyo dawa...

nataka nianze na bbade.
 
maadam ushasema hivi ntakua nikimuona namkimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…