Ujumbe wangu kwenu wana Jamiiforums

Ujumbe wangu kwenu wana Jamiiforums

Bujibuji nilikuwa nakudhani ni mtu wa mzaha tu kumbe wewe ni thinker mkubwa??? Asante sana kwa yote uliyoeleza. Mimi kwa umri wangu nimeshavuka vigingi vingi labda kama viwili vitatu ulivyotaja. Wazazi wangu wote nimewatunza mpaka nimewapumzisha, nimestahafu na bahati nilijiandaa. Nyinyi mlio bado ndugu zangu pitia kwenye huu uzi na muuchukue kama msahafu unaoitwa Buji Philosophy. Big up Buji.
 
This is very deep mkuu.
Asante sana
Asante sana Bujibuji
 
Mkuu mwenyewe unatoa kwa wahitaji?

Maana tunaona nyie wachungaji kazi yenu ni kupokea tu, kutoa ni mwiko.

Na humu umesemasema sana kuhusu kutoa zawadi kwa wachungaji, lakini haujasema mchungaji, zaidi ya maneno matupu naye kutoa zawadi iliyofungwa kwa waumini wake!
 
Back
Top Bottom