Ujumbe wangu kwa Wanazuoni wa kiislamu

Ujumbe wangu kwa Wanazuoni wa kiislamu

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
520
Reaction score
2,932
Asalam aleykm, ndugu.

Hii kwa wanazuoni wa kiislamu. Natumai mnaendelea vyema saumu/funga katika mwezi huu mtukufu.

Najua kuna wanazuoni wengi wana elimu ya dini ya kiislamu. Aidha wanaweza kutusaidia kwa kutoa elimu au kuondoa hii misunderstanding ya uelewa iliyopo maana sisi tusio na elimu kubwa ya dini tunafuata miongozo ya wanazuoni wetu, mashekh na mamuft au wanazuoni wengi.

Nataka kuzungumzia katika suala la Sala ,kwa kuwa tumeamrishwa kusali haina maana tuwe tuna kwenda msikitini tu kuinama na kuinuka bali Sala zetu zinapaswa tuzisali sahihi ili ziweze kupokelewa.

Kuna jambo ambalo nahitaji kuelewa zaidi au nipatiwe elimu zaidi katika Sala ,labda kuna wanaofahamu tofauti na ninavyofahamu.

Sisi waislamu tuna sala tano kwa siku ,na katika Sala hizi kuna Tashah-hud au Attahiyatul mbili tuu.Tashah-hud ndogo inakaliwa baaada ya rakaa mbili za mwanzo na Tashah-hud kubwa inakaliwa mwisho katika hali ya Qadah yaani Rakaa ya mwisho.

Hivyo mtu akisali sala yeyote anapaswa akae Tashah-hud au tahiyatul mbili tuu kubwa na ndogo.

Lakini nimekuwa nikishuhudia mara zote watu mbalimbali wakisali kama Maamuma (wanaoongozwa na Imam) wanakaa Tashah-hud/Tayatul zaidi ya mbili.

Mfano, Maamuma akichelewa Rakaa moja ,sala ya alaasir .Anamkuta labda imamu na Maamuma wapo rakaa ya pili wamesimama Qiyama, anafika ana unga, Imamu akienda chini Sujda mbili na yeye anamfuata halafu imamu ana kaa katika Qadah, halafu Attahiyatul ndogo au Tashah-hud ndogo na Maamuma ana kaa pamoja na kutoa shahada.

Imamu anasimama kumalizia rakaa mbili za mwisho baadaye kukaa Tashah-hud au Tahiyatul kubwa na kusoma pia Sala ya mtume pamoja na kutoa shahada na Maamuma anafanya hivyo hivyo.

Imamu anatoa salaamu kuashiria kumaliza Sala, maamu hatoi salaamu bali anasimama ili kumalizia rakaa aliyochelewa mwanzo .

Lakini Maamuma anavyokwenda sujda ya mwisho na kukaa Qadah ya mwisho ambayo ni Attahiyatul au Tashah-hud ya mwisho ,Maamuma tena anatoa Shahada vile vile tena.

Hapa Maamuma atakuwa amekaa Tashah-hud au Attahiyatul tatu ikiwa alipaswa kukaa mbili tuu.Hili linafanywa na watu wengi sana ila Sioni elimu haswa ikitolewa au ufafanuzi ukitolewa katika hili.

Navyoelewa Mimi.

Imaam ni leader yaani kiongozi , Maamuma ni anayeongozwa ikiwa mtu amechelewa rakaa ya kwanza au ya pili akiunga kwa imamu Kuwa Maamuma ina maana anapaswa kuongozwa na kumtuata imaam kama imamu yupo rakaa ya pili na wewe kwako itakuwa Rakaa ya pili ukiongozwa na imamu.

Imaamu akikaa Tashah-hud au Attahiyatul ndogo na wewe ni ndogo kwako,imamu akikaa pia Tashah-hud au Attahiyatul kubwa na wewe ni kubwa kwako ila tuu hutatoa Salaam kama imaamu au maamuma wengine walioanza na imamu bali utasimama katika Qiyama ili kumalizia rakaa uliyoiweka pending kwa kuchelewa, utaenda Sujjda mbili za mwisho alafu utatoa salaamu hutatoa shahada au kusoma Sala ya mtume sababu ulisoma ulitoa shada na kusoma Sala ya mtume ukiongozwa na Imamu.

Nina Amini hakuna Sala yenye Attahiyatul tatu au Tashah-hud tatu.

Wasalaam,

Nipo tayari kusahihishwa.
 
Mimi sio mwanazuoni je ninaweza kuchangia
 
Alichokielezea hapo Abdul Nondo ni kwamujibu wa mafundisho ya madhhab ya IBADHI.
 
Dini ya kwenda kumpiga mawe shtani.

Dini ya kuabudu jua na mwezi.

Dini ya kubadili ratiba ya msosi.

Dini ya kuua wale wote wanaoamini vitabu vingine isipokuwa Quran.

Dini ya kudanganywa na mood kuwa jua linazama katikati ya chemchemi ya matope.

MOOD HAKUJUA KUSOMA WALA KUANDIKA.

WAJINGA NDIO WALIWAO.
Yani nilikuwa nasubiria hii kitu, yanibhizi dini zetu bila jusemwa vibaya na dini nyingine ni kama mjadala haujakamilika
 
Kukosa Rakaa Moja Katika Swalaah Ya Jamaa​

Maswali: Swalah Ya Jamaa

Kukosa Rakaa Moja Katika Swalaah Ya Jamaa
SWALI:
UNATAKIWA UFANYE NINI PINDI UNAPOTOA SALAMU KATIKA SWALA EITHER YA RAKAA 4 KAMA ADHUHURI ,ILHAL ULICHELEWA NA UNADAIWA RAKAA MOJA?

JIBU:
AlhamduliLLaah - Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho.

Unapokosa rakaa moja au zaidi katika Swalaah ya Jamaa’ah hutakiwi kutoa salaam pale Imaam anapomaliza Swalaah, bali unatakiwa wewe usimame kutekeleza rakaa ulizozikosa ikiwa ni moja au mbili au tatu. Rakaa ulizoswali na Imaam zitahesabika kwako kuwa ni rakaa za mwanzo na hizo utakazokamilisha ndio zinazofuatia. Utamalizia na tashahhud na kutoa salaam.

Hali hii ya kukosa rakaa na kulipiza rakaa inaitwa Swalaatul-Masbuqw (Swalaah ya aliyetanguliwa au aliyechelewa rakaa na Imaam)
Na Allaah Anajua zaidi
 
Aslm alykm,ndugu.

Hii kwa wanazuoni wa kiislamu.Natumai mnaendelea vyema saumu/funga katika mwezi huu mtukufu.

Najua kuna wanazuoni wengi wana elimu ya dini ya kiislamu.Aidha wanaweza kutusaidia kwa kutoa elimu au kuondoa hii misunderstanding ya uelewa iliyopo maana sisi tusio na elimu kubwa ya dini tunafuata miongozo ya wanazuoni wetu ,mashekh na mamuft au wanazuoni wengi.

Nataka kuzungumzia katika suala la Sala ,kwa kuwa tumeamrishwa kusali haina maana tuwe tuna kwenda msikitini tuu kuinama na kuinuka bali Sala zetu zinapaswa tuzisali sahihi ili ziweze kupokelewa.

Kuna jambo ambalo nahitaji kuelewa zaidi au nipatiwe elimu zaidi katika Sala ,labda kuna wanaofahamu tofauti na ninavyofahamu.

Sisi waislamu tuna sala tano kwa siku ,na katika Sala hizi kuna Tashah-hud au Attahiyatul mbili tuu.Tashah-hud ndogo inakaliwa baaada ya rakaa mbili za mwanzo na Tashah-hud kubwa inakaliwa mwisho katika hali ya Qadah yaani Rakaa ya mwisho.

Hivyo mtu akisali sala yeyote anapaswa akae Tashah-hud au tahiyatul mbili tuu kubwa na ndogo.

Lakini nimekuwa nikishuhudia mara zote watu mbalimbali wakisali kama Maamuma (wanaoongozwa na Imam ) wanakaa Tashah-hud/Tayatul zaidi ya mbili .

Mfano,Maamuma akichelewa Rakaa moja ,sala ya alaasir .Anamkuta labda imamu na Maamuma wapo rakaa ya pili wamesimama Qiyama ,anafika ana unga ,Imamu akienda chini Sujda mbili na yeye anamfuata alafu imamu ana kaa katika Qadah ,alafu Attahiyatul ndogo au Tashah-hud ndogo na Maamuma ana kaa pamoja na kutoa shahada.

Imamu anasimama kumalizia rakaa mbili za mwisho baadaye kukaa Tashah-hud au Tahiyatul kubwa na kusoma pia Sala ya mtume pamoja na kutoa shahada na Maamuma anafanya hivyo hivyo.

Imamu anatoa salaamu kuashiria kumaliza Sala ,maamu hatoi salaamu bali anasimama ili kumalizia rakaa aliyochelewa mwanzo .

Lakini Maamuma anavyokwenda sujda ya mwisho na kukaa Qadah ya mwisho ambayo ni Attahiyatul au Tashah-hud ya mwisho ,Maamuma tena anatoa Shahada vile vile tena .

Hapa Maamuma atakuwa amekaa Tashah-hud au Attahiyatul tatu ikiwa alipaswa kukaa mbili tuu.Hili linafanywa na watu wengi sana ila Sioni elimu haswa ikitolewa au ufafanuzi ukitolewa katika hili.

Navyoelewa Mimi.

Imaam ni leader yaani kiongozi , Maamuma ni anayeongozwa ikiwa mtu amechelewa rakaa ya kwanza au ya pili akiunga kwa imamu Kuwa Maamuma ina maana anapaswa kuongozwa na kumtuata imaam kama imamu yupo rakaa ya pili na wewe kwako itakuwa Rakaa ya pili ukiongozwa na imamu .

Imaamu akikaa Tashah-hud au Attahiyatul ndogo na wewe ni ndogo kwako,imamu akikaa pia Tashah-hud au Attahiyatul kubwa na wewe ni kubwa kwako ila tuu hutatoa Salaam kama imaamu au maamuma wengine walioanza na imamu bali utasimama katika Qiyama ili kumalizia rakaa uliyoiweka pending kwa kuchelewa ,utaenda Sujjda mbili za mwisho alafu utatoa salaamu hutatoa shahada au kusoma Sala ya mtume sababu ulisoma ulitoa shada na kusoma Sala ya mtume ukiongozwa na Imamu.

Nina Amini hakuna Sala yenye Attahiyatul tatu au Tashah-hud tatu.

Wasalaam,

Nipo tayari kusahihishwa.

Mkuu, Ukishakuwa nyuma ya Imamu hunabudi kufuata chochote anachofanya kwani Imam maana yake ni kiongozi, katika swala ya jamaa mtu anapata thawabu mara (23 kama sijakosea) zaidi kwa kila tendo la swala na hakuna ubaya kama mtu unaweza kurudia tendo hilo tena ukiwa unaswali peke yako kukamilisha rakaa ulizochelewa, Malipo ya swala mfano wake ni sawa na mapato katika biashara au kazi, je kuna mtu timamu anaweza kuacha au kupuuza kitu kinachoweza kumuongezea mapato zaidi katika biashara yake???--- kamwe hawezi kuacha, basi jambo hilo unalofikiri kuwa haliko sawa hakika liko sawa na ni lenye faida ukilipima kwa Commonsense tu kwani kitu unachorudia katika swala ya peke yako unaandikiwa thawabu pia, juu ya yote jambo hilo ilikuwa ni Sunna ya mtukufu mtume (saw) kwani matendo yote ya swala ni sunna zake.
 
Kukosa Rakaa Moja Katika Swalaah Ya Jamaa​

Maswali: Swalah Ya Jamaa

Kukosa Rakaa Moja Katika Swalaah Ya Jamaa
SWALI:
UNATAKIWA UFANYE NINI PINDI UNAPOTOA SALAMU KATIKA SWALA EITHER YA RAKAA 4 KAMA ADHUHURI ,ILHAL ULICHELEWA NA UNADAIWA RAKAA MOJA?

JIBU:
AlhamduliLLaah - Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho.

Unapokosa rakaa moja au zaidi katika Swalaah ya Jamaa’ah hutakiwi kutoa salaam pale Imaam anapomaliza Swalaah, bali unatakiwa wewe usimame kutekeleza rakaa ulizozikosa ikiwa ni moja au mbili au tatu. Rakaa ulizoswali na Imaam zitahesabika kwako kuwa ni rakaa za mwanzo na hizo utakazokamilisha ndio zinazofuatia. Utamalizia na tashahhud na kutoa salaam.

Hali hii ya kukosa rakaa na kulipiza rakaa inaitwa Swalaatul-Masbuqw (Swalaah ya aliyetanguliwa au aliyechelewa rakaa na Imaam)
Na Allaah Anajua zaidi

kwa kuongezea ni kuwa Masbuqw anaweza soma tashahhud hata nne ndani ya swalaah moja.
 
Aslm alykm,ndugu.

Hii kwa wanazuoni wa kiislamu.Natumai mnaendelea vyema saumu/funga katika mwezi huu mtukufu.

Najua kuna wanazuoni wengi wana elimu ya dini ya kiislamu.Aidha wanaweza kutusaidia kwa kutoa elimu au kuondoa hii misunderstanding ya uelewa iliyopo maana sisi tusio na elimu kubwa ya dini tunafuata miongozo ya wanazuoni wetu ,mashekh na mamuft au wanazuoni wengi.

Nataka kuzungumzia katika suala la Sala ,kwa kuwa tumeamrishwa kusali haina maana tuwe tuna kwenda msikitini tuu kuinama na kuinuka bali Sala zetu zinapaswa tuzisali sahihi ili ziweze kupokelewa.

Kuna jambo ambalo nahitaji kuelewa zaidi au nipatiwe elimu zaidi katika Sala ,labda kuna wanaofahamu tofauti na ninavyofahamu.

Sisi waislamu tuna sala tano kwa siku ,na katika Sala hizi kuna Tashah-hud au Attahiyatul mbili tuu.Tashah-hud ndogo inakaliwa baaada ya rakaa mbili za mwanzo na Tashah-hud kubwa inakaliwa mwisho katika hali ya Qadah yaani Rakaa ya mwisho.

Hivyo mtu akisali sala yeyote anapaswa akae Tashah-hud au tahiyatul mbili tuu kubwa na ndogo.

Lakini nimekuwa nikishuhudia mara zote watu mbalimbali wakisali kama Maamuma (wanaoongozwa na Imam ) wanakaa Tashah-hud/Tayatul zaidi ya mbili .

Mfano,Maamuma akichelewa Rakaa moja ,sala ya alaasir .Anamkuta labda imamu na Maamuma wapo rakaa ya pili wamesimama Qiyama ,anafika ana unga ,Imamu akienda chini Sujda mbili na yeye anamfuata alafu imamu ana kaa katika Qadah ,alafu Attahiyatul ndogo au Tashah-hud ndogo na Maamuma ana kaa pamoja na kutoa shahada.

Imamu anasimama kumalizia rakaa mbili za mwisho baadaye kukaa Tashah-hud au Tahiyatul kubwa na kusoma pia Sala ya mtume pamoja na kutoa shahada na Maamuma anafanya hivyo hivyo.

Imamu anatoa salaamu kuashiria kumaliza Sala ,maamu hatoi salaamu bali anasimama ili kumalizia rakaa aliyochelewa mwanzo .

Lakini Maamuma anavyokwenda sujda ya mwisho na kukaa Qadah ya mwisho ambayo ni Attahiyatul au Tashah-hud ya mwisho ,Maamuma tena anatoa Shahada vile vile tena .

Hapa Maamuma atakuwa amekaa Tashah-hud au Attahiyatul tatu ikiwa alipaswa kukaa mbili tuu.Hili linafanywa na watu wengi sana ila Sioni elimu haswa ikitolewa au ufafanuzi ukitolewa katika hili.

Navyoelewa Mimi.

Imaam ni leader yaani kiongozi , Maamuma ni anayeongozwa ikiwa mtu amechelewa rakaa ya kwanza au ya pili akiunga kwa imamu Kuwa Maamuma ina maana anapaswa kuongozwa na kumtuata imaam kama imamu yupo rakaa ya pili na wewe kwako itakuwa Rakaa ya pili ukiongozwa na imamu .

Imaamu akikaa Tashah-hud au Attahiyatul ndogo na wewe ni ndogo kwako,imamu akikaa pia Tashah-hud au Attahiyatul kubwa na wewe ni kubwa kwako ila tuu hutatoa Salaam kama imaamu au maamuma wengine walioanza na imamu bali utasimama katika Qiyama ili kumalizia rakaa uliyoiweka pending kwa kuchelewa ,utaenda Sujjda mbili za mwisho alafu utatoa salaamu hutatoa shahada au kusoma Sala ya mtume sababu ulisoma ulitoa shada na kusoma Sala ya mtume ukiongozwa na Imamu.

Nina Amini hakuna Sala yenye Attahiyatul tatu au Tashah-hud tatu.

Wasalaam,

Nipo tayari kusahihishwa.
Uislam haukuja kutoa elimu kwa umma balil ujinga ili wachache na baadaye waarabu wawanyonye. Hivyo, kwa elimu hii ya madrasa usitegemee lolote. Hata ukiangalia jina maamuma na imamu kwangu wote ni maamuma tu. Angalia mnavyoswali. wengi mnajipanga kienyeji huku mtu mmoja akiongea kiarabu nanyi mkiguna. Hakuna ujinga kama huu. Hamruhusiwi kuhoji au kujiondoa. Mkifanya hivyo, manauawa kwa kuretardi. Nimalizie kwa kukutaka uachane na uislam sawa na wakiristo mrejee dini za mababu zetu zilizotufanya tuheshimike na siyo sasa tunafundishwa hata kuchamba na kuomba upuuzi wakati wa kula.
 
Sasa wewe ulitaka usifundishwe kuchamba, uwe unatembea na mimavi yako matakoni!? Serious!?

Sikia hii dini sio ya waarabu, mitume ilikuwa inashushwa pale ambapo watu wanamuasi saana mungu, mitume yote ililetwa kwa kazi hiyo, unaweza kuwaita wajumbe wa mwenyezi mungu.. Ama muhamad (s.a.w) ambae ni wa mwisho alikuja kwa waarabu ambao walikuwa wamepotoka kabisa, katika jamii ambayo walikuwa ni washenzi kupindukia(waarabu ni washenzi hawana mfano) mtoto wa kike alikuwa hana thamani, akizaliwa wa kike baba anauwa, watu walikuwa wanacheza kamali mimba iliyobebwa ni ya kiume ama ya kike wanaweza kumpasua huyo mwanamke ili kuona kilichomo tumboni, ubaguzi wa wenye nacho na wasio nacho na mengi mengi..

Huwa sipendi, kuchangia saana dini sababu wengi wanaishia kuchangia kimihemko.
Dini ni ustaarabu, hivyo mtume alikuja kuleta ustaarabu ni namna gani unapaswa kuishi kuanzia kuamka kwako mpka unapoingia kitandani tena, upihe mswakj, uende vipi haja, namna gani ufanye biashara, vipi mtu akikufanyia kazi umlipe, yatima afanyiwe nini(haki ya yatima), mwanamke afanyiwe nini,haki zake ndani ya ndoa, n.k n.k
Vipi kuoana, vipi kulifanya tendo, kuoga, kupiga mswaki, kwenda haja na kujisafisha, na mengine mengi mengi

Taratibu ambazo muumbaji anapendezwa nazo.
Hivyo dini ya uislam ni ustaarabu unaomtoa mtu kwenye giza.

Huelewi kitu uliza ukiwa neutral utafaidi kuliko kwenda kimihemko..

Shukrani chief.
 
Dini ya kwenda kumpiga mawe shtani.

Dini ya kuabudu jua na mwezi.

Dini ya kubadili ratiba ya msosi.

Dini ya kuua wale wote wanaoamini vitabu vingine isipokuwa Quran.

Dini ya kudanganywa na mood kuwa jua linazama katikati ya chemchemi ya matope.

MOOD HAKUJUA KUSOMA WALA KUANDIKA.

WAJINGA NDIO WALIWAO.
Bahati mbaya inaonekana hujui chochote katika uislam ni mihemko tu.. Ukiona una jambo tafuta mtu akuelekeze, sio kwa kuwa uwe muislam, ila kama elimu tu nyingine upate manufaa..

Unaona shule ya msingi, unasoma kitu unaona km umemaliza kumbe ukija o level kinapambanuliwa zaidi, ukienda a level ni zaidi

Basi ndivyo ilivyo elimu ya dini.. Ukiwa la kwanza 0-4 haiwezekani, ila ukisogea mbele 0-4=-4
2/4 utaambiwa haiwezekani, ila huko mbele itawezekana, utabadili kuwa decimal, utaweka into ratio, utaisimplify na kila kitu...

Karibu.
 
Back
Top Bottom