Ujumbe wa mwisho wa polisi kabla hajaua wenzie 7 Kenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,228
50,379
Hii mada sijaanzisha nikiwa na nia ya ushindani wa kidini, au kuikashifu dini yoyote, ila naomba mtaalam wa uislam aniweke sawa kwenye kulielewa hili. Inafikiaje mtu awapige na kuwaua askari wenzie eti anatarajia hilo litamwezesha kuingia binguni pamoja na jamaa zake. Kisa, eti aligombana na mkubwa wake ambaye hakumruhusu kuhamishwa kituo au kustaafu.

Kisa kama hiki kitawafanya polisi wengine waishi kwa kushukiana, ukiwa karibu na askari muislamu inabidi uwe macho na makini maana hujui ataibuka na lipi.
===========================================================
Askari wa polisi bwana Abdihakim Maslah alifanya maombi ya mwisho na kuweka kwenye Whatsapp ambapo aliomba mungu awasamehe wazazi wake, ndugu zake, na waislamu wote na rafiki yake. Akaomba hatimaye aingie binguni.

Baada ya hapo ghafla akaanza kuwamiminia risasi polisi wenzie na kuwaua saba.

Taarifa kamili hizi hapa

The emotional last message of Constable Abdihakim Maslah has been revealed by those who knew the rogue officer.

The message that was posted as a status by Maslah on his WhatsApp emotionally asked for forgiveness for his family.

The officer in the message confessed his love to God and asked for passage to heaven.

“Ya Allah forgive my parents en my brothers en sisters and all Muslim especially a brother u en i know. Ya Allah i love u. Give me alfirdaus (heaven),”the message by Maslah read.

Maslah who schooled at Tarbaj primary school and Wajir high school was described as a quiet and religious man who graduated from Kiganjo police college in 2013.

Constable Abdihakim Maslah’s last message before killing his colleagues at Kapenguria police station.

Reports said Maslah had been unhappy since being posted at the remote police station and had several times been asking for a transfer.

After being denied a transfer the officer is said to have written a resignation letter but his bosses convinced him to stay in the force.

Constable Abdihakim Maslah with service No. 101777, Thursday, July 14, killed seven police officers at Kapenguria police station including the station OCS.

Police confirmed those killed in the siege as Vitalis Ochido (OCS), Wilson Karani, Katana Kitu, Gideon Ochieng, Robert Kinyua, Cornelius Rono and Dennis Momanyi.

Police said Maslah killed the officers as he tried to free a terror suspect being held at the station by the name Omar Eumod.

0fgjhs27q5ljt2lsl.80ec5137.jpg

0fgjhs8m5b0a0ef94.8a30ea84.jpg

Kapenguria cop's last message before killing his colleagues
 
Ndio maana nasemaga kuliko bangi ipigwe marufuku ni bora dini zipigwe marufuku maana dini zina alcohol kubwa kuliko hata bangi na piwa.

Pia dini ni dawa ya kulevya namba 1 duniani.
Ndio maana nasemaga kuliko bangi ipigwe marufuku ni bora dini zipigwe marufuku maana dini zina alcohol kubwa kuliko hata bangi na piwa.

Pia dini ni dawa ya kulevya namba 1 duniani.
Satanic!!!
 
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mleta mada, Uislam unakataza KUJIUA na KUUA,
Huyo bwana Maslah itakua alifanya hivyo kwa "Maslahi" yake binafsi na sio dini.

Sheria ya kiislam mtu akijiua hapaswi kuswaliwa wala kuombewa dua, zaidi achimbiwe shimo afukiwe kama mzoga.

Nadhani nitakua nimekujibu.
 
Tabia na matendo mabaya ya mtu hayana uhusiano na dini wala kuwa na jina linalonasibiana na dini fulani havihusiani na dini pia. Aliyeua kule Kenya ni mtu na siyo dini. Rekebisha topic yako
 
Kuna mkenya mmoja alisema haya

do not think a Kenyan can wake up one morning and decide to go and attack an AP camp without any form of inducement.

Kuna story nyingi Kenya kuhusiana na hilo
 
Mleta mada, Uislam unakataza KUJIUA na KUUA,
Huyo bwana Maslah itakua alifanya hivyo kwa "Maslahi" yake binafsi na sio dini.

Sheria ya kiislam mtu akijiua hapaswi kuswaliwa wala kuombewa dua, zaidi achimbiwe shimo afukiwe kama mzoga.

Nadhani nitakua nimekujibu.
Muamala umekamilika
 
Kiganjo did nothing to kill his primitive instincts. Loyalty to the clan/ cause were much stronger in him than the law he supposedly swore to uphold. Freeing a terror suspect, kwani yeye ni nani??
 
Mleta mada, Uislam unakataza KUJIUA na KUUA,
Huyo bwana Maslah itakua alifanya hivyo kwa "Maslahi" yake binafsi na sio dini.

Sheria ya kiislam mtu akijiua hapaswi kuswaliwa wala kuombewa dua, zaidi achimbiwe shimo afukiwe kama mzoga.

Nadhani nitakua nimekujibu.
basi itakuwa baadhi ya Waisilamu huwa hawalielewi hilo ..maana mauaji huambatana kusifia anachokilinda
 
basi itakuwa baadhi ya Waisilamu huwa hawalielewi hilo ..maana mauaji huambatana kusifia anachokilinda
Ni upuuzi wa mpuuzi anaekurupuka Kwa kusikia Ujinga redioni ama tv kuhusu wajinga wengine wanaofanya hivo ila kiukweli Uislam unakataza kabisaa huo upuzi, Kwanini tukuswali kwa, kujiua, kwa kuua wengine? Ikiwa dini imehimiza kumpenda na kumjali jirani bila ubaguzi iweje iruhusu kuua??
 
Askari mwenyewe msomali labda kama kaamua kuwakilisha usomali wake Lakini sio dini
 
Tabia na matendo mabaya ya mtu hayana uhusiano na dini wala kuwa na jina linalonasibiana na dini fulani havihusiani na dini pia. Aliyeua kule Kenya ni mtu na siyo dini. Rekebisha topic yako

Huyo MK254
Ameishi kiunafiki zaidi
Kutwa kuchonganisha dini
Yaani vitu visivyo husiana na dini yeye kavalia njuga

Ukisoma kwa umakini hapa chini utaelewa ni Tatizo na Chuki ya Askari mwenyewe

Habari ambazo hazikuthibitishwa zilisema kuwa mmoja wa maafisa wa Recce aliuawa katika makabiliano hayo huku ikishukiwa kuwa huenda watu zaidi ndani ya kituo hicho waliuawa na wengine kujeruhiwa.

Duru zinasema polisi huyo muasi aliyetambuliwa kwa jina Maslah alitofautiana na mkubwa wake baada ya kuhamishwa hadi kituo kingine.
Ripoti za polisi zinasema polisi huyo aliamua kujiuzulu lakini ombi hilo likakataliwa na wakubwa wake.

“Alifuzu juzi kutoka Chuo cha Mafunzo ya Polisi cha Kiganjo lakini alikuwa anazozana mara kwa mara na wenzake. Alionekana mwenye hasira katika siku za hivi karibuni,” akasema afisa mmoja wa polisi.

Habari zaidi zilisema afisa alienda likizoni Jumatano lakini akarudi kazini jana mwendo wa saa kumi na moja asubuhi.

Kufika kutuoni tu alimnyang’anya polisi mmoja bunduki na akaanza kufyatua risasi.

Pia kuna askari mwingine kapoteza bunduki
Naye aje aseme ni Dini.
 
Askari mwenyewe msomali labda kama kaamua kuwakilisha usomali wake Lakini sio dini

Leo huyo tutasema Msomali, sasa tatizo ni kwamba watu wa matabaka mbali mbali, kutokea nchi tofauti duniani wanajilipua lipua kila siku wakiita "allah akbar" na kutegemea kuingia binguni. Hawa hawafahamiani, wanatokea maeneo tofauti, ila hicho kimoja kinawaleta pamoja, ndio inanitatiza akili, ni mafunzo gani haya yanampelekea mtu kuamini kwa kujilipua, basi yeye na ndugu zake wote wataingia binguni.

Haya ni maswali ambayo kila mtu anayakwepa kwenye dunia ya leo, lakini hatimaye lazima yapate majibu la sivyo, dunia tunakokwenda tutachinjana sana. Leo hii ukisikia huo msemo "allah akbar" barabarani, kila mtu anataharuki, hata kama utasemwa kwa nia njema.

Unakuta ndugu mnaishi na kula pamoja, labda askari mwenzio, lakini siku moja ghafla anakurupuka na kupaaza sauti na kuusema huo msemo, hapo mnaanza kufa mmoja baada ya mwengine. Ufaransa jana wamekufa 80.
 
Back
Top Bottom