UJUMBE WA MBUNGE: Shukrani, Twende Kazi!


Asante sana, naomba ufike makao makuu ya chama wakati wa kazi onana na Afisa Vijana Ali Chitanda au Mkurugenzi wa Uenezi Erasto Tumbo, yoyote kati ya hao atakupatia kadi

JJ
 
Unawajua Watu wa UBUNGO Mheshimiwa.

Hivyo vitu ulivyovitaja wanavijua tuambie implementation srategy ukiambatanisha na action PLAN yako. SISI WASOMI NA WANANCHI WA KAWAIDA ambao tupo hapa tunasoma UDSM wengine maofisa mipango,treasurers etc.Nenda kwa DAVID Msuya au Mtei wanajua kama usemayo yatafanyika.

Nikuchekeshe, muulize Lukuvi alikuwa anachakachua maofisa Ardhi Kinondoni amemaliza? yupi anaanza kuwepo Ofisa ardhi au ofisa mipango miji. Unazijua X za kwenye majengo na Barabara hapo pana akili kweli chukua kwanza Master Plan ya ubungo uijue. Vtuo vya Police vingine viko barabarani eti vya dharura sababu ni Police. Yule Mkuu wa Wilaya Konisaga alikuwa Diwani yule aliweza kuzungumza akaishia kupewa ukuu wa Wilaya.Ule yamini tukuone nguvu yako maana mageuzi unayapenda lakini dhiki na shida huna wewe kweli maana vyaleta dhambi hivi BWANAAA>
 
tupo pamoja, tatizo kubwa la jimbo la ubungo ni maji, na vibaka wa pale mataa. nakuaminia kijana mwenzangu. fanya kazi jenga chama. GOD BLESS U
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…