Ujumbe Wa Mama Kwa Mwanawe

The Boldly

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,377
Reaction score
5,150
*UJUMBE WA MAMA KWA MWANAE KIPENZI*
πŸ€”πŸ€”πŸ€”

*"Mwanangu sikwambii uache kusoma au uache kazi lakini ukikutana na Fursa nzuri usiiache kamwe."*

*"Mwanangu utamaliza Chuo baada ya Miaka 25..."*

Jumla ya ada yako tangu unaanza shule mpaka unamaliza ni *Milion 16,800,000/= Tshs*.

Tanzania itakupa Mshahara wa *Laki 7 (Tshs 700,000/=)* kila mwezi kwa degree yako TU.

Ila.,
Toa asilimia *10% NSSF* (70,000/=)

Toa *Kodi asilimia 9%* (63,000/=)

Toa *Helsb asilimia 15%* (105,000/=)

Toa *NHIF asilimia 3%* (21,000/=)

Utabakiwa na *Tshs. 441,000/=*

Toa *Nauli kwa mwezi* Tsh 90,000/=

Toa *Chakula cha Mchana* Tsh.90,000/=

Toa *Pango* Tsh.100,000/=

Toa *Chakula cha nyumbani* Tsh.90,000/=

Toa *Gharama za kiwi na doby + nguo za ofisi* Tshs. 30,000/=

Utabakiwa na *Tshs 41,000/=*

Toa *bill ya Maji* 10,000/= na *Bill ya umeme* 20,000

Utabaki na *Tshs 11,000/=*

Weka na *Chupa ya Maji ya kunywa* ya 600/= ya bakheresa.

Hapo naona mwanangu kama utakuwa unadaiwa kila mwezi.

Basi komaa tu hivyo hivyo siku ziende.

Ukitaka kupiga simu tuma *Tafadhali Nipigie* maana huna budget ya vocha na pesa imekwisha.

Lakini pia usisahau *kutoa zaka na sadaka*.

Na pia *usiruhusu wageni kuja kukutembelea nyumbani kwako*, maana hutokuwa na pesa ya kuwanunulia hata soda.

Haya jitahidi Mwanangu shule njema angalia usigongwe na Bodaboda kwa mawazo ya maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…