MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Kama miaka 15 ya mfumo wa vyama vingi Maalim Seif kawa hana mpya, vp chama chetu kitukufu cha Mapinduzi(CCM) katka miaka zaidi ya 40 ya utawala wake,kuna lolote la kujisifia kwa mwananchi wa kawaida, mlala hoi bin miguu juu kama mm?(sjuwi ww mwenzangu)
.Maalim Seif anamtaka Rais Kikwete asifuate nyayo za mtangulizi wake, Benjamin Mkapa, ambaye anajuilikana kwenye kama kiongozi aliyesimamia mauaji ya Januari 2001 na kuzalisha wakimbizi kwa mara ya mwanzo katika historia ya Tanzania huru
Maalim Seif anamtaka Rais Kikwete asifuate nyayo za mtangulizi wake, Benjamin Mkapa, ambaye anajuilikana kwenye kama kiongozi aliyesimamia mauaji ya Januari 2001 na kuzalisha wakimbizi kwa mara ya mwanzo katika historia ya Tanzania huru
Sioni kama hawa ni mifano mizuri, mimi ningewapa credit mzee Edwin Mtei, Mzee Bob Makani, kwani wao hakukimbilia kwenye urais wakati kila mtu mwaka 1995 alioona ni mwaka wa wapinzani, walisema bado wakaviunga mkono vyama vingine wakaimarisha chama chao, ndio maana Mbowe aliweza kupata kura zote zile mwaka 2005, na ndio maana CHADEMA wananafasi nzuri sana sasa hizi ya kufika fainali. Mbowe hawezi kutajwa hapa hajaachia bado unaweza ukamuona kwenye urais 2010 au ndio kampeni za CCM kumsukuma aende jimboni? (janja ya nyani)Maalim Seif Shariff Hamad awaachie wengine kila uchaguzi ni yeye tu haoni wenza Mbowe,Cheyo na Mzee wa Kiraracha wamekimbilia kwenye majimbo yao uchaguzi.
Hoja ilitolewa na mchangiaji mmoja kuwa "Maalim hana mpya bora agombee ubunge..." Lakini mchangiaji kashindwa kuona kuwa kipindi anachokizungumzia cha Maalim akiwa kama kiongozi wa chama cha Upinzani ni muda wa miaka kama 15 tu, utawezaje kumhukumu kwa kipindi kifupi cha siasa za upinzani zenye mashaka na vitimbi chungu nzima, katika serikali inayoongozwa na chama chenye historia ya mateso, vitisho na mauwaji dhidi ya wapinzani wake, na licha ya mfumo wa vyama vingi mambo hayajabadlika sana vitimbi hivyo(mifano ipo ukitaka). Licha ya hayo muda mfupi tu wa Maalimu kuongoza upinzani Zanzibar mafanikio ya msingi mengi yamepatikana kwa mfano:Kwa hiyo mkuu tunaangali whose worse and whose the worst? Kama nae miaka 15 hajafanya kitu tutajuaje hiyo miaka 40 akipewa atafanya chochote. Sina ubaya na Maalim ila naona hoja uliyotoa haina nguvu. Mtazamo wangu tu.
This is treasonous!!!.
Hii imekaa vibaya
Anambembeleza JK, then anamponda Mr.Clean
Wazenj na waislamu wengi wametokea kumchukia sana Mr.Clean kwa yale mapigo ya zenj na m.chai
Huyu jamaa ni zero tuu, kuna lipi la kumsifia au kumshauria JK, ni wazi kuwa JK ndiye mbovu/m-baya kuliko Mr.Clean, lakini kwa kulinda misingi yao ya udini wanaona so kumkosoa JK hadharani.
Anyway, ngoja niwadokeze kidoooogo, tuuu.
Unajua ni kwanini JK hana ubavu wa kusema mbovu juu ya Mr.Clean?? Mkwara aliopigwa hatosahau maisha yake...."Akikamatwa Mkapa hii nchi lazima tumwage damu, jeshi litagawanyika, wakristu tutasimama kumtetea..."
Hahaahahahahah...give me a break
Vijana wa CUF wapo, wanakomazwa bado wakitolewa ukumbini ni kama Paka vile anapoingia katika kichaka cha panya(CCM), hakuna haraka wamewekwa katika maeneo (strategically) ili wajifunze kutoka kwa magwiji ambao bado wana nguvu zao.Recruitment policy ikoje huko CUF! leteni vijana tuwaone majukwaani kila seif, lipumba duni...tumeanza kuchoka na majina...unajua mambo mengine unaweza ku-determine msimamo wa kila moja wa hawa jamaa jukwaani kuhusu issue yeyote?
tunataka kusikia vijana na majina mengine
.
Hii imekaa vibaya
Anambembeleza JK, then anamponda Mr.Clean
Wazenj na waislamu wengi wametokea kumchukia sana Mr.Clean kwa yale mapigo ya zenj na m.chai
Huyu jamaa ni zero tuu, kuna lipi la kumsifia au kumshauria JK, ni wazi kuwa JK ndiye mbovu/m-baya kuliko Mr.Clean, lakini kwa kulinda misingi yao ya udini wanaona so kumkosoa JK hadharani.
Anyway, ngoja niwadokeze kidoooogo, tuuu.
Unajua ni kwanini JK hana ubavu wa kusema mbovu juu ya Mr.Clean?? Mkwara aliopigwa hatosahau maisha yake...."Akikamatwa Mkapa hii nchi lazima tumwage damu, jeshi litagawanyika, wakristu tutasimama kumtetea..."
Hahaahahahahah...give me a break
.
Hii imekaa vibaya
Anambembeleza JK, then anamponda Mr.Clean
Wazenj na waislamu wengi wametokea kumchukia sana Mr.Clean kwa yale mapigo ya zenj na m.chai
Huyu jamaa ni zero tuu, kuna lipi la kumsifia au kumshauria JK, ni wazi kuwa JK ndiye mbovu/m-baya kuliko Mr.Clean, lakini kwa kulinda misingi yao ya udini wanaona so kumkosoa JK hadharani.
Anyway, ngoja niwadokeze kidoooogo, tuuu.
Unajua ni kwanini JK hana ubavu wa kusema mbovu juu ya Mr.Clean?? Mkwara aliopigwa hatosahau maisha yake...."Akikamatwa Mkapa hii nchi lazima tumwage damu, jeshi litagawanyika, wakristu tutasimama kumtetea..."
Hahaahahahahah...give me a break
Hoja ilitolewa na mchangiaji mmoja kuwa "Maalim hana mpya bora agombee ubunge..." Lakini mchangiaji kashindwa kuona kuwa kipindi anachokizungumzia cha Maalim akiwa kama kiongozi wa chama cha Upinzani ni muda wa miaka kama 15 tu, utawezaje kumhukumu kwa kipindi kifupi cha siasa za upinzani zenye mashaka na vitimbi chungu nzima, katika serikali inayoongozwa na chama chenye historia ya mateso, vitisho na mauwaji dhidi ya wapinzani wake, na licha ya mfumo wa vyama vingi mambo hayajabadlika sana vitimbi hivyo(mifano ipo ukitaka). Licha ya hayo muda mfupi tu wa Maalimu kuongoza upinzani Zanzibar mafanikio ya msingi mengi yamepatikana kwa mfano:
1. Mabadiliko ya Katiba kutokana na Muafaka(1999) yaliyopelekea kuanzishwa kwa taasisi kadhaa za kutoa haki kwa wananchi kama vile Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) ambayo inaendesha kesi zote za jinai ambazo awali zilikuwa zikiendeshwa na Polisi, waliokuwa wakibambikia watu kesi ovyo ovyo tu,
2. Kubwa zaidi kurejeshwa kazini wafanyakazi waliofukuzwa kwa sababu za kisiasa ama kulipwa haki zao,
3.Uanzishwaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,
4.Uthubutu wa Maalimu kusema waziwazi uozo wa serikali na chama tawala umeamsha ari na mwamko mpya wa kimageuzi kwa wazanzibari na hasa vijana ambao awali walidanganywa kuwa " vyama vya upinzani vimekuja kuvuruga amani na utulivu na kumrejesha Sultani" kitu ambacho ni uongo.
Mambo ni mengi na sitaki kuchukuwa nafasi na muda wako lakini kwa ufupi tu nikuwa kama haya kayafanya kwa kipindi kifupi tu kama mpinzani "imagine" akipata serikali umbali gani atafika kuleta mabadiliko ya kiuchumi kisiasa na kijamii kwa ujumla, na pengine hata hiyo miaka 40 isifike.
Ukitizama kwa mizania kama hiyo utaona kuwa miaka 40 ya CCM madarakani tofauti na 15 ya CUF kama chama cha upinzani kwa mengi tu.
Imani uliyo nayo ni udhaifu na choyo hakuna jingine,mna roho dhaifu binadamu kumchukia binadamu mwenzake bila ya sababu za msingi binadamu huyo anakuwa ni mtu duni mwenye moyo uliojaa chuki.Aagh huyu Ba Hamad hana mpya hata mimi sina tatizo na cuf, tatizo ni huyu jamaa. Hivi zbar hakuna chama cha tatu chenye nguvu!
VP na Wazanzibari nao waki respond na kwa kuamua sasa bas, tunaungana na marafiki wengine(Kenya) au USA, bakini na umeme wenu, itakuwaje?Hivi J.K. aka-respond kwa kuwaambia TANESCO wa-switch off umeme to Z'bar, si utashindwa hata kuendelea na kampeni zako kwa ufanisi?
Maalim Seif Shariff Hamad awaachie wengine kila uchaguzi ni yeye tu haoni wenza Mbowe,Cheyo na Mzee wa Kiraracha wamekimbilia kwenye majimbo yao uchaguzi.Maalimu Seif badala ya kuimarisha CUF bara kaamua kubaki na Pemba yake !!!.Ndiyo maana Lwakatare kawakimbia baada ya kubaini hyiki chama macho na masikio yako Zanzibar tu.
Maalim Seif Shariff Hamad hajui mafuta ni mambo ya muungano na yataendelea kuwa ya muungano atake asitake.Lau kama anataka kubadili katiba sharti hoja ilepelekwe bungeni si Gombani au Chake chake.