Ujumbe wa leo

Kweli, huwa naumia sana mtu akipiga story kuhusu baba, yani ni lazima nitafute chemba nilieeeee!
R.I.P my lovely dad.
Duniani mithili yako hakuna, na peponi tutakutanishwa tena.
 
Pole sana mkuu....
 
Ntuzu unatakiwa ule mapema maana baadae utashindwa kula kaka

Mkuu nimeshakula Rafiki yng!

Na nimetulia tuli na mamsapo tunasubiri game ianze!

Leo usikimbie ndugu yng!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimeshakula Rafiki yng!

Na nimetulia tuli na mamsapo tunasubiri game ianze!

Leo usikimbie ndugu yng!

Mkuu siwezi kukimbia maana najua naenda darajani kuchukua points tatu
 
Kweli, huwa naumia sana mtu akipiga story kuhusu baba, yani ni lazima nitafute chemba nilieeeee!
R.I.P my lovely dad.
Duniani mithili yako hakuna, na peponi tutakutanishwa tena.

Mie mwenyewe huwa naumia sana hata tu nikisikia maongezi ya mtu na baba yake.
 
Inawatia sana simanzi wa kinyume chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…