muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,231 Reaction score 15,644 Feb 23, 2014 #2 Nimeipenda hiyo ya baiskeli, safi sana huufanya mwili uwe na afya bora, no kitambi,no sukari,no pressure.
Nimeipenda hiyo ya baiskeli, safi sana huufanya mwili uwe na afya bora, no kitambi,no sukari,no pressure.
D Descartes JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,765 Reaction score 1,664 Feb 23, 2014 #3 Kwa baadhi ya wabongo kitambi ni heshima.Ishara ya mambo safi:hapo lazima watapenda hiyo ya gari "...to make them fat".
Kwa baadhi ya wabongo kitambi ni heshima.Ishara ya mambo safi:hapo lazima watapenda hiyo ya gari "...to make them fat".