Charles_nicholaus Senior Member Joined Nov 13, 2025 Posts 154 Reaction score 286 Dec 23, 2025 #1 Usitamani kuwa bora kuliko wengine, Tamani kuwa bora kuliko ulivyokuwa kabla kwani akili huwa ndogo zinaposhughulika na wengine pia huwa kubwa zinaposhughulika na mambo yako.
Usitamani kuwa bora kuliko wengine, Tamani kuwa bora kuliko ulivyokuwa kabla kwani akili huwa ndogo zinaposhughulika na wengine pia huwa kubwa zinaposhughulika na mambo yako.
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 21,075 Reaction score 42,890 Dec 23, 2025 #2 Kweli kabisa, kutamani kuwa bora kuliko wengine ni dalili ya ubinafsi na chazo cha wivu wa kinyegere.
Kweli kabisa, kutamani kuwa bora kuliko wengine ni dalili ya ubinafsi na chazo cha wivu wa kinyegere.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,264 Reaction score 14,500 Dec 23, 2025 #3 Hatari sana mkuu, nimependa mawazo yako.