Ujumbe wa leo

Ujumbe wa leo

totoadela

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
370
Reaction score
1,111
Kuna muda mtu ni jasiri,Lakini Kuna muda ukiaangalia mazingira ujasiri unakata halafu woga unayavaa maisha ya mtu tena.

Kuna nyakati kuziendea, kuzikabili na kuishi nazo ni ngumu. Mungu akuongezee nguvu Mahali nguvu zako zimekuwa chache.

Mungu akuongezee nguvu Mahali ambapo nguvu zako zimefika mwisho.

Mungu akuondolee hofu akupe amani ya moyo.

Mungu akupe kushinda kwenye nyakati tata unazopitia kwenye maisha Yako. Kumbuka Kila unachopitia kinapita pia. Ni wakati tu.Usiache kuomba, kumbuka tunayaweza mambo yote katika yeye anaetutia nguvu.

Haya Muwe na Jion njema
 
Kuna muda mtu ni jasiri,Lakini Kuna muda ukiaangalia mazingira ujasiri unakata alafu woga unayavaa maisha ya mtu Tena.
Kuna nyakati kuziendea, kuzikabili na kuishi nazo ni ngumu.Mungu akuongezee nguvu Mahali nguvu zako zimekuwa chache,
Mungu akuongezee nguvu Mahali ambapo nguvu zako zimefika mwisho.
Mungu akuondolee hofu akupe amani ya moyo.
Mungu akupe kushinda kwenye nyakati tata unazopitia kwenye maisha Yako.Kumbuka Kila unachopitia kinapita pia. Ni wakati tu.Usiache kuomba, kumbuka tunayaweza mambo yote katika yeye anaetutia nguvu.

Haya Muwe na Jion njema
 
Back
Top Bottom