Ujumbe wa leo

Ujumbe wa leo

kalondo

Senior Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
190
Reaction score
128
You cannot know every single details of your life, just because you know the last moment. We may face a painful day with trouble in our lives, but if we keep living in happiness just as we did today, it wont be as painful as the first and we wont be as worried as had been
 
Wewe na kamati yako nawaogopa. Ni dizaini ile ikitokea nikakuona unakuja inabidi nibadili njia aisee. Au naweza kujitoa akili tu nikapambana kwa hali na mali mpaka nikala mzigo. Kamati yako dhidi ya mafurushi inaogopesha sana

Wikendi inaishaje lakini?
 
Mweeeh!! Unanisingizia mimi jamani, na upole wote huu!!!

W.end inaisha kama ilivyoanza.
 
Umetuita kistaarabu kabisa, ila umetupatia maneno magumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom