Laiti tungekua tunaishi milele hapa Duniani,Hata Mimi ningelazimisha kua Na madaraka Ashukuliwe Mungu muumba anayeweza kubadilisha majina ya walio hai wakaitwa Marehemu hatuna mji udumuo,Tuishi kwa upendo maana kesho yetu Mungu ndie anaijua Sioni sababu ya watu kumwaga Damu kisa kutaka Ushindi,Hii ni Nchi yetu sote hakuna mwenye hatimiliki naomba kuwasilisha