Ujumbe wa leo

Ujumbe wa leo

asuuu

Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
14
Reaction score
23
Usifikiri Watu wote ni Wajinga Hawaelewi Mafumbo.
Jamaa na Mke wake walikuwa bado Wamelala Asubuhi.
Ghafla Mtu akapiga Hodi kwenye mlango.
Mke akaenda kufungua mlango.
Bahati mbaya kumbe ni mpango Wake wa Kando.
MKE: Unataka nini we Mpumbavu?
MUME: Nani huyo una Mtukana?
MKE:Kuna Mtu hapa
Anakichwa kama Nenda urudi Baadae.
Mpango wa kando: Nawewe Pua kama... Poa.
MKE: Miguu kama Masaa
Mawili hivi.
Mpango wa kando: Masikio kama Sitachelewa.
MKE: Ondoka hapa mjinga wewe! Akafunga Mlango.
MUME: Mwambie ana Magoti kama Sitoki leo.
 
So sad, ila hongera kwa kumsamehe mwenzio na pia nafikir wapenda huo mchezo wamejifunza
 
Back
Top Bottom