Big up saana mkuu. Hiyo ndo Tz yetu bahnaaa, hatuna jinsi. Anakuja kwetu na lugha lainiii kuwa tukimchagua tu atatupigania mambo yetu yatunyokee, sijui kuna nini pale mlangoni. Akiisha ingia, anajifungia kule, ale kwanza wee mpaka akiisha shiba ndo anafungua madirisha na kuanza kututupia mapanki. Hakika, navumilia kuwa Mtz