balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,456
- 12,581
Kitendo cha Raila kuwa rafiki wa bwana yule kimemtoa kwenye kundi la marafiki zetu.Na inawezekana kimewatisha hata wapiga kura.Hata hivyo Raila ni kinyonga wa kisiasa kama alivyo John McCain.1982 mpango wa mapinduzi,baadaye akajiunga na Moi akawa katibu mkuu wa KANU,baadaye akajitoa kanu akajiunga na Kibaki baadaye akajiunga na akina Mudavadi,,,,baadaye na Kalonzo yaan jamaa hatabiriki.Leo ni rafiki wa UCHWRAKatibu wangu mashinji, hili unalo sifia kwamba ni demokrasia champion ni raila odinga.
Odinga kapigania mabadiliko mengi ya katiba kenya, kama unakumbuka enzi za chungwa na ndizi.
Bila odinga hizi sifa unazompa uhuru leo hazingekuepo,kwa Wale wanao fuatilia siasa za kenya mtakubaliana nami.
Leo kisa odinga ni rafiki wa odinga chadema tunamuunga mkono uhuru, nani asiyejua urafiki kati ya chadema na chama cha Odm, ni urafiki wa muda mrefu leo tunawakana na kuwasaport jubilee kisa urafiki wa odinga na magufuli tena urafiki wa muda mrefu.
Nakubaliana na msemo usemao there is no permanent friend or enemy in politics lakini kwa hili chadema mmeniangusha.
Miaka mitano ya jubilee was a hell to Kenyans ufisadi mauaji na thulma nyingi za kisiasa tumeshuhudia,leo chadema chama changu mnamuunga mkono Kenyatta kisa urafiki wa magufuli na odinga! So pathetic.
Naamini hizi siasa za ajabu kazileta chadema lowasa, yes naaamini hivyo kwa sababu chadema hatukuwa na hizi siasa za ajabu mwanzoni kabla ya Lowasa .
Kwa kweli imeniuma sana kuona chama changu ambacho nimekipigia kura miaka kumi na tano mfululizo tumeanza kuiga siasa za ajabu ajabu, to be honest kwa hili sinto wasamee walio fanya maamuzi haya.
Mwisho kabisa naomba nimkumbushe katibu mkuu na mwenyekiti wangu mh mbowe, rudini kwenye vitabu au mjikumbushe mchango wa odinga kuhusu demokrasia ya kenya, the guy did much that's why leo mnamsifia Kenyatta, Kenyatta hastaili hata chembe ya sifa.
wakenya sio Kama sisi watanzania ambao ndio Kwanzaa tunaamka kwenye kudai haki zetu za kidemocrasia, ingekuwa ni Kenya kauli y'all magufuli kupiga marufuku mikutano ya kisiasa isengefua dafu. Angepingwa kona zote kuanzia civil societies,vyama vya siasa hadi mahakamani.
Crucial man
Mwana chadema
Sent using Jamii Forums mobile app