jr.kiyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 810
- 4,953
Ata mbuyu ulianza kama mchicha atii.....Muhimu tu kujua yes,no,ok,thank you,welcome,bye.
Ata mbuyu ulianza kama mchicha atii.....Muhimu tu kujua yes,no,ok,thank you,welcome,bye.
hivi huyo mabeto ni msanii wa tasnia gan mkuu?Wasanii bana eti atatembea kwa magoti hadi SA kha!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mi nashangaa nyumbani kwangu, kwanini vijiko vinapotea tu kimoja kimoja. Kila nikifikiria hivi vijiko vinakwenda wapi sipati jibu.
hivi huyo mabeto ni msanii wa tasnia gan mkuu?