Ujumbe wa faraja

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
311
Reaction score
644
“Tumepitia mambo ngumu sana kama taifa, na wengi wamepoteza walio karibu nao. Pole kwa familia zote zilizoathirika maumivu yenu ni ya kweli na yanaguswa na wengi. Katika wakati huu majonzi yakiwa hayajaisha, tuendelee kushikana, kutiana nguvu na kulinda utu wetu. Tuwafariji walioumizwa na kuendeleza moyo wa kusaidiana. Mungu awatie nguvu na awapumzishe kwa amani wote waliotutoka.”View attachment 3511650
 
being wise is better than being right
 
Hiyo quotation umeitoa kwa nani? Kama ni huyo shetani, hamna faraja zaidi ya unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…