Tunaweza kuwa sauti ya watu, juu ya viziwi! Kwanin kila mtu asipaze sauti yake mwenye na kuungana na za wengine ikawa moja kubwa yenye nguvu, kuliko kuwategemea hao wasomi wanaotuangusha kila siku? Wao wenyewe wanaburuzwa mavyuon mwao, wanashndwa kujiremea wenyewe, watatusemeaje sisi? Nenda ukaone udom. Chuo changu cha mtaa, elimu yangu ya mtaa, ndio silaha tosha na ndiyo sauti yangu. Tusitegemee makubwa sana kutoka kwa wasomi wetu. Kwanza hata mtaala wenyewe unawajenga kuwa wezi. Pitia kidogo ukajionee. Wewe na mimi tunaweza fanya kitu bila kuwategemea wasomi, wanaharakati wala wanasiasa. Waongo na wasaliti wakubwa wa UTU.