Ujumbe wa Dr. Shein una walakini

sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,989
4,127
Wakati Dr Shein anasoma risala yake ndefu, aliamua aisitishe kwa kuwa jua lilikuwa linawawakia wananchi pale uwanjani.Lakini akasema ngoja amalizie kwa kusoma mambo muhimu.

Akaanza kuzungumzia mishahara ya wafanyakazi, wakati Dr Shein anajisifu kwa kuboresha mishahara ya watumishi wa umma na akawaahidi tena kuwa wasione ajabu na mwaka huu tena akawaongeza mishahara, ndipo kamera za TBC zikamuelekea Rais Magufuli, nikamuona kama anagwaya vile, kwa kile anachokifanya cha kutokuongeza mishahara watumishi wa umma wa serikali yake kwa miaka mitano sasa.

Marais wote wastaafu walikuwepo pale kiwanjani wakati Shein akitoa taarifa za majigambo ya serikali yake,, kwamba anatoa matibabu bure, kuna shule hadi za ghorofa zanzibar, wanafunzi wa chuo wanapata mikopo, wanaofaulu Div 1 za form 4 husomeshwa bure zanzibar, uchumi umeimarika sana Zanzibar.

Nilikuwa namuona Shein kama anamuambia Magufuli kuwa kubana mishahara hakumaanishi kuwa pesa za serikali zinamalizwa kwa mishahara, zaidi sana unaharibu uchumi kwa vile pesa ni mzunguko, uliongeza hela mtaani kwa mishahara unamuongezea asiyeajiliwa na serikali pesa yaani wafanyabishara bidhaa zao zitanunuliwa, mafundi wa mtaani watapata kazi nk.

Anachokifanya Magufuli ni kama una duka la bidhaa mtaani, wewe unajua kuuza tu, hununui bidhaa mpya za dukani mwisho wa siku duka linaduwa halina bidhaa na wateja wakija kuulizia bidhaa wewe unasema hakuna.

Hivyo nakushauri Rais Magufuli mwaka huu ongeza mshahara kwa zaidi ya asilimia hamsini kwa kuwa hata mapato ya TRA yameongezeka hadi kufikia TRilioni 1.9 kwa mwezi wakati mishahara kwa mwezi si zaidi ya Bilioni 600 yaani mapato ya TRA kwa mwezi yanalipa mishahara ya serikali kwa miezi mitatu.

Hebu Mheshimiwa fanya majaribio ya kuongeza mishahara kwa asililia 100 kwa miezi mitatu tu then roll back kwenye scale ya kawaida halafu sikilizia mapato ya TRA kwa miezi hiyo, utashangaa.

Hata Yesu alisema pandeni mbegu, mbegu moja huzaa mbegu mia, hiyo ndo formula ya kiuchumi, kwa vile ume control mapato ya serikali hakuna tena wizi fungulia mipesa hiyo.

Kwa kuwa hakuna sehemu pesa za serikali zinatumika kwa wingi kama mishahara kwa wafanyakazi, hiyo ndo simple way ya kusababisha upepo wa pesa kukimbia, hawa wafanyakazi hawakai na hizo pesa bank, wataanza kujenga, kununua magari na hivyo tozo ya petrol kuongezeka, japo ukimwaga sana pesa kwa wingi pia itaharibu uchumi, un afungulia pesa kwa discipline.
 
Uko idara gani ya Serikali mkuu ? Ili aanzie huko maana naona mwenzetu taaban ! Maelezo yako yatosha, Mh Rais kasikia! ! Ila halahala ukiongezwa na wewe usiongeze mke wa pili (kama wewe ni mme)
 
Ngoja nimpeleke mwanangu Zenji, yuko form one. Nitamtafutia waalim wa tuition huku kipindi cha likizo, atapata one FIV. Nitapata unafuu wa kulipiwa ada,au ni kwa wazanzbari tu
 
Akiongeza jiwe kwa Tanzania bara, muweke heshima dharau ipunguwe mjini maana wengi wenu mnamikopo imewakaba koo
 
Wakati Dr Shein anasoma risala yake ndefu, aliamua aisitishe kwa kuwa jua lilikuwa linawawakia wananchi pale uwanjani.Lakini akasema ngoja amalizie kwa kusoma mambo muhimu.

Akaanza kuzungumzia mishahara ya wafanyakazi, wakati Dr Shein anajisifu kwa kuboresha mishahara ya watumishi wa umma na akawaahidi tena kuwa wasione ajabu na mwaka huu tena akawaongeza mishahara, ndipo kamera za TBC zikamuelekea Rais Magufuli, nikamuona kama anagwaya vile, kwa kile anachokifanya cha kutokuongeza mishahara watumishi wa umma wa serikali yake kwa miaka mitano sasa.

Marais wote wastaafu walikuwepo pale kiwanjani wakati Shein akitoa taarifa za majigambo ya serikali yake,, kwamba anatoa matibabu bure, kuna shule hadi za ghorofa zanzibar, wanafunzi wa chuo wanapata mikopo, wanaofaulu Div 1 za form 4 husomeshwa bure zanzibar, uchumi umeimarika sana Zanzibar.

Nilikuwa namuona Shein kama anamuambia Magufuli kuwa kubana mishahara hakumaanishi kuwa pesa za serikali zinamalizwa kwa mishahara, zaidi sana unaharibu uchumi kwa vile pesa ni mzunguko, uliongeza hela mtaani kwa mishahara unamuongezea asiyeajiliwa na serikali pesa yaani wafanyabishara bidhaa zao zitanunuliwa, mafundi wa mtaani watapata kazi nk.

Anachokifanya Magufuli ni kama una duka la bidhaa mtaani, wewe unajua kuuza tu, hununui bidhaa mpya za dukani mwisho wa siku duka linaduwa halina bidhaa na wateja wakija kuulizia bidhaa wewe unasema hakuna.

Hivyo nakushauri Rais Magufuli mwaka huu ongeza mshahara kwa zaidi ya asilimia hamsini kwa kuwa hata mapato ya TRA yameongezeka hadi kufikia TRilioni 1.9 kwa mwezi wakati mishahara kwa mwezi si zaidi ya Bilioni 600 yaani mapato ya TRA kwa mwezi yanalipa mishahara ya serikali kwa miezi mitatu.

Hebu Mheshimiwa fanya majaribio ya kuongeza mishahara kwa asililia 100 kwa miezi mitatu tu then roll back kwenye scale ya kawaida halafu sikilizia mapato ya TRA kwa miezi hiyo, utashangaa.

Hata Yesu alisema pandeni mbegu, mbegu moja huzaa mbegu mia, hiyo ndo formula ya kiuchumi, kwa vile ume control mapato ya serikali hakuna tena wizi fungulia mipesa hiyo.

Kwa kuwa hakuna sehemu pesa za serikali zinatumika kwa wingi kama mishahara kwa wafanyakazi, hiyo ndo simple way ya kusababisha upepo wa pesa kukimbia, hawa wafanyakazi hawakai na hizo pesa bank, wataanza kujenga, kununua magari na hivyo tozo ya petrol kuongezeka, japo ukimwaga sana pesa kwa wingi pia itaharibu uchumi, un afungulia pesa kwa discipline.
Hayo mapato ya 1.9 trip ni ya mwezi DEC ambapo ni mwezi wa mwisho was robot ya Oct- Dec ambao wafanyabiashara wengi wanalipa Kofi zao za mwisho. Huwezi kupata same figure by end january
 
Watu watafute kazi kwenye makampuni binafsi, biashara na kilimo kazi za serikali sio za kutegemea tena kwenye nchi kama yetu. Serikali inatakiwa kupunguza gharama na wafanyakazi zaidi na kuweka teknologia.
 
Magufuli hayupo pale kwa ajili ya kuleta neema kwa Watanzania bali "kuwalimisha kwa meno". Kumbuka aliwataka wafanyakazi wachape kazi na kuongeza uzalishaji na mapato ndipo aweze kuwaongezea mishahara. Leo TRA inatangaza mapato ya sh.1.9 T na bado hafikirii kutekeleza ahadi yake. Huyu mtu ni zaidi ya tatizo kwa nchi hii.
 
Mh. Rais usiongeze mishahara ya tutumishi TWA umma, tunanyanyasika mno huku mtaani! Angalau sasa hivi tumelingana nato!
 
Zanzibar ni ka mkoa tu. sehemu ya Tanzania,hivyo mkuu wa mkoa wa eneo husika akiona kapata faida nzuri anaweza ongeza mishahara na bonus kwa watumishi wake.

Tanzania Bara usiifananishe na huo mkoa
Wakati Dr Shein anasoma risala yake ndefu, aliamua aisitishe kwa kuwa jua lilikuwa linawawakia wananchi pale uwanjani.Lakini akasema ngoja amalizie kwa kusoma mambo muhimu.

Akaanza kuzungumzia mishahara ya wafanyakazi, wakati Dr Shein anajisifu kwa kuboresha mishahara ya watumishi wa umma na akawaahidi tena kuwa wasione ajabu na mwaka huu tena akawaongeza mishahara, ndipo kamera za TBC zikamuelekea Rais Magufuli, nikamuona kama anagwaya vile, kwa kile anachokifanya cha kutokuongeza mishahara watumishi wa umma wa serikali yake kwa miaka mitano sasa.

Marais wote wastaafu walikuwepo pale kiwanjani wakati Shein akitoa taarifa za majigambo ya serikali yake,, kwamba anatoa matibabu bure, kuna shule hadi za ghorofa zanzibar, wanafunzi wa chuo wanapata mikopo, wanaofaulu Div 1 za form 4 husomeshwa bure zanzibar, uchumi umeimarika sana Zanzibar.

Nilikuwa namuona Shein kama anamuambia Magufuli kuwa kubana mishahara hakumaanishi kuwa pesa za serikali zinamalizwa kwa mishahara, zaidi sana unaharibu uchumi kwa vile pesa ni mzunguko, uliongeza hela mtaani kwa mishahara unamuongezea asiyeajiliwa na serikali pesa yaani wafanyabishara bidhaa zao zitanunuliwa, mafundi wa mtaani watapata kazi nk.

Anachokifanya Magufuli ni kama una duka la bidhaa mtaani, wewe unajua kuuza tu, hununui bidhaa mpya za dukani mwisho wa siku duka linaduwa halina bidhaa na wateja wakija kuulizia bidhaa wewe unasema hakuna.

Hivyo nakushauri Rais Magufuli mwaka huu ongeza mshahara kwa zaidi ya asilimia hamsini kwa kuwa hata mapato ya TRA yameongezeka hadi kufikia TRilioni 1.9 kwa mwezi wakati mishahara kwa mwezi si zaidi ya Bilioni 600 yaani mapato ya TRA kwa mwezi yanalipa mishahara ya serikali kwa miezi mitatu.

Hebu Mheshimiwa fanya majaribio ya kuongeza mishahara kwa asililia 100 kwa miezi mitatu tu then roll back kwenye scale ya kawaida halafu sikilizia mapato ya TRA kwa miezi hiyo, utashangaa.

Hata Yesu alisema pandeni mbegu, mbegu moja huzaa mbegu mia, hiyo ndo formula ya kiuchumi, kwa vile ume control mapato ya serikali hakuna tena wizi fungulia mipesa hiyo.

Kwa kuwa hakuna sehemu pesa za serikali zinatumika kwa wingi kama mishahara kwa wafanyakazi, hiyo ndo simple way ya kusababisha upepo wa pesa kukimbia, hawa wafanyakazi hawakai na hizo pesa bank, wataanza kujenga, kununua magari na hivyo tozo ya petrol kuongezeka, japo ukimwaga sana pesa kwa wingi pia itaharibu uchumi, un afungulia pesa kwa discipline.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom