Hii picha imeniharibia siku yangu. Hakuonyesha kujali aliposikia meli inazama, leo amejifunga hijab anaenda kutoa rambirambi. Hii ni kama kutokwenda kumjulia hali mgonjwa akiwa hai, lakini unakuwa mstari wa mbele katika kuangua kilio wakati wa mazishi.