Ujumbe umefika Zanzibar kwa mara nyingine tena kuwacheza shere viongozi wa zanzibar .

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Haikunishanga kumuona huyu mama Ann Makinda amefika hapa Zanzibar kuendeleza mchezo wao wa kuwacheza (shere )viongozi wa serekali na wananchi wa Zanzibar (siku zote kikulacho kinguoni mwako) huyu ndie mama aliyekataa kata kata kuwapa wabunge wakati wa kufuatilkia ajali iliyotokea, wakiwa ndani ya Bunge lililochaguliwa na wananchi hao au jamaa zao waliofikwa na maafa nakuwafanya wao kujiita wabunge wa Jamhuri ya Tanzania,nilitegemea hilo kutokea kwa yeye kufika zanzibar lakini simlaumu mama Anna makinda kwani akifanyacho ni sawa na muwamba ngoma huvutia kwake,Nimekuwa najiuliza Viongozi wa serekali ya Zanzibar wataendelea kuridhia kupakwa mafuta kwa nyuma ya chupa mpaka lini ? au ndio kusema wametiwa shemere?

Hasidi1.jpg Hadisi4.JPG
 
Hii picha imeniharibia siku yangu. Hakuonyesha kujali aliposikia meli inazama, leo amejifunga hijab anaenda kutoa rambirambi. Hii ni kama kutokwenda kumjulia hali mgonjwa akiwa hai, lakini unakuwa mstari wa mbele katika kuangua kilio wakati wa mazishi.
 
Na yeye anafuata sharia iliotanganzwa Zanzibar kwa kuvaa kiislam, Duh..!! Ama kweli uislam unamfanya mwanamke apendeze, si umemuona Makinda alivopendeza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom