Ewe Mwenyezi Mungu mfalme wa mbingu na nchi tukumbushe waja wako juu ya ukomo wa maisha yetu hapa duniani na namna njema ya kukutumikia wewe kabla siku za uhai wetu hazijafika mwisho
Zaidi ya yote utuimalishe kwenye wema wako katika hali za utajili na umasikini ili kwa hali kibinadamu tusikufuru wala kujivuna kwa mafanikio unayotupatia NA TUSEME AMEN
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.