Ujumbe mzito kwa January Makamba

Ujumbe mzito kwa January Makamba

Ni sawa Katiba ni ya viraka viraka, bt Kwa Katiba hii hii iliyopo unaweza niambia wale COVID 19 Wanalindwa na Sheria ipi muda wote huo. Jibu ni Rahisi CCM inabariki viongozi kuvunja Katiba iliyopo.
Ingekuwa katiba inaruhusu kumshitaki Rais anayefanya madudu asingefanya, Spika anafanya ujinga sababu anajua hakuna wa kumgusa
 
Waswahili wanasemaga kuwa BUBU UTAKA KUSEMA MAMBO YAKIMZIDIA.

watanzania sasa tumechoka kuwa wakimya kama kondooo.

Msikilizeni mama yetu akitoa yake ya moyoni juu ya Makamba na hali ya kipato cha Mwananchi.

View attachment 2222392

Tulitakiwa tujifunze kitu Ukraine. Ukiona vita inatokea na wako wanajeshi wastaafu wa mataifa mengine wanajitolea kwa kujialika kununua ugomvi elewa majira yamebadilika sana.
 
Ni sawa Katiba ni ya viraka viraka, bt Kwa Katiba hii hii iliyopo unaweza niambia wale COVID 19 Wanalindwa na Sheria ipi muda wote huo. Jibu ni Rahisi CCM inabariki viongozi kuvunja Katiba iliyopo.

Wewe hujui CDM ilisha dharaulika tangu ibadili gia angani, unazugika na Mbowe kuonekana Ikulu mara mbili ndani ya miezi miwili?
 
Waswahili wanasemaga kuwa BUBU UTAKA KUSEMA MAMBO YAKIMZIDIA.

watanzania sasa tumechoka kuwa wakimya kama kondooo.

Msikilizeni mama yetu akitoa yake ya moyoni juu ya Makamba na hali ya kipato cha Mwananchi.

View attachment 2222392

Mmmmh huyu Mama ni jasiri sana ila kwa Tanzania hii mmmh
 
Hapo Nishati inaonekana kuna watu wameacha tunguli zao basi kelele kwa JM kila kona... siioni tofauti ya waliotoka ambao wamekaa miaka mingi na ya huyu JM ambaye amekaa mwaka mmoja...

Mmoja was working as the bushman and mwingine is working in a modern way...
 
Back
Top Bottom