Ujumbe murua kwa wadada

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,940
19,130
WhatsApp Image 2017-04-06 at 9.05.40 PM.jpeg
 
kunta mwanaume anawaza zile gharama ninazomfanyia mara ohh nijengee nyumba wewe na kiherehere chako unamjengea,mara ohh nipeleke mlimani city nikachague dilaaa wakati mbagala hapa bure unaokota chini,ninunulie vogo wewe tena huku unadaiwa tegemeza jimbo mara subiri kidogo mara vogo hilo sasa akifumania matokeo yake ndio hayo
 
Mkuu Kimbendengu hivi kweli mwanaume kabisa unamjengea mwanamke wako nyumba kwa jina lake na kumkabidhi kabisaa? Aiseee lazima akufanyie vituko ambavyo hujawahi ona
 
Mwanaume aliumbwa kula kwa jasho sio kuchepuka na ndiyo maana akapewa mwanamke mmoja.

Kuchepuka ni umalaya wenu na tamaa tu.
 
Mmeambiwa muoe hadi wanne sio KUZINI

Afu hao wanawake wenyewe pia Malaya tu kama waume zao
Punguza jazba ustadhat ilisemwa kuwa siku zijazo zinaa itatapakaa,wanawake kuwa wengi,wanawake kuwa juu ya waume zao,watoto wa zinaa kila ukoo na mengi uyaonayo yaendayo kinyume na ustaarabu.nataman kubaki kama yesu
 
Kwa hiyo kama ilisemwa?!.. Ndo mjihalalishie haram kua halali?
 
Back
Top Bottom