Ujumbe muhimu kwa wote

Sasa mtu kama hajasoma elimu dunia utamuelemishaje wakati anaambiwa anapata thawabu kwa kuchoma makanisa ama kuua makafiri?

we ulivoishia form four ukapata four ya 28 ukaishia kupata course ya computer ukajua kufungua JF ndio unajiona umesoma??? wasomi hawajisemi,matendo yao yanawasemea
 
Kwa kuchoma makanisa tumeingiza nchi kwenye laana.

mkuki kwa nguruwe kwa binadam uchungu.kumbuka yale makanisa yapo pale miaka na wale awtu wapo pale miaka hawajayachoma kwann iwe leo.kumbuka chanzo ni KUKOJOLEWA KWA KITABU AMBACHO WATU WANAKIAMINI kama ambavyo wewe unaamini pale walipochoma moto
 
Mtoto wa tembo
Today 14:17
#22 Report Post
Mtoto wa tembo's Avatar
Member Array

Join Date : 4th October 2012
Posts : 14

Rep Power : 304

Likes Received
1
Likes Given
0
 
Sasa mtu kama hajasoma elimu dunia utamuelemishaje wakati anaambiwa anapata thawabu kwa kuchoma makanisa ama kuua makafiri?

Write something...
[h=5]Nakma Ahsam
[/h][h=5]NI HAKI YETU WAISLA KUYACHOMA MAKANISA YA MBAGALA.
Sisi waislam tunawaambia watoto wetu kwamba Biblia kitabu kitakatifu cha Mungu na kinafaa kuheshimiwa. WENZETU WAKIRISTO Wanajawajaz mapumba watoto wao kwamba QURANI ni kitabu cha mashetani kinafaa Kukojolewa.
Unanetegemea nini kwa watoto wa KIKIRISTO Wasifanye wanayofundishwa na baba zao, maasko na mapadri wao?
Dawa yao ni kama ile ya Mbagala ni kulipiza kisasi kama kile ili wajue wanayowafundisha watoto yao sio mazui.
[/h]
 
Mkuu Terry, muislamu ni muoslam tu, hakuna cha msomi wala nani. Akili zao wote sawa tu



[h=5]Nakma Ahsam
[/h][h=5]NI HAKI YETU WAISLA KUYACHOMA MAKANISA YA MBAGALA.
Sisi waislam tunawaambia watoto wetu kwamba Biblia kitabu kitakatifu cha Mungu na kinafaa kuheshimiwa. WENZETU WAKIRISTO Wanajawajaz mapumba watoto wao kwamba QURANI ni kitabu cha mashetani kinafaa Kukojolewa.
Unanetegemea nini kwa watoto wa KIKIRISTO Wasifanye wanayofundishwa na baba zao, maasko na mapadri wao?
Dawa yao ni kama ile ya Mbagala ni kulipiza kisasi kama kile ili wajue wanayowafundisha watoto yao sio mazui.
[/h]
 
Nakma Ahsam


NI HAKI YETU WAISLA KUYACHOMA MAKANISA YA MBAGALA.
Sisi waislam tunawaambia watoto wetu kwamba Biblia kitabu kitakatifu cha Mungu na kinafaa kuheshimiwa. WENZETU WAKIRISTO Wanajawajaz mapumba watoto wao kwamba QURANI ni kitabu cha mashetani kinafaa Kukojolewa.
Unanetegemea nini kwa watoto wa KIKIRISTO Wasifanye wanayofundishwa na baba zao, maasko na mapadri wao?
Dawa yao ni kama ile ya Mbagala ni kulipiza kisasi kama kile ili wajue wanayowafundisha watoto yao sio mazui.

Mungu gani anatetewa na wanadamu? Mmepotea wenzangu, maarifa hamna
 
Kwa vyovyote itakavyokuwa haya hayatatokea hata siku moja Tanzania na duniani kwa ujumla.
1.Haitatokea dini ya kiislamu itatoweka juu ya uso wa Tanzania na duniani.
2.Vivyohivyo dini ya kikristo kamwe haitafutika Tanzania na kwingineko.
3.Na wale wasiokuwa na dini yeyote ya kigeni wanaondelea kuheshimu na kusujudia tamaduni zao za kipagani wataendelea kuwepo hadi kiyama.
Kwa maana hiyo wale wote wanaofikiria kuwa siku moja itabaki dini wanayoifuata dunia nzima wafute ndoto zao hizo na wajipange kuishi kwa amani na watu wenye itikadi tofauti na zao.
Ukweli ndio huo sana sana tusubiri kumiminika na kuongezeka kwa madhehebu toka nje na ndani ya nchi kila siku iendayo kwa Mungu
.

Mkuu uko sahihi kabisa!
Mimi nadhani cha msingi hapa ni watanzania kuendelea kuishi katika imani tofauti kwa kuheshimu imani za wengine na kuvumiliana.

Tatizo kubwa ni kama watu wa dini moja wakijiona wao ni bora kuliko watu wa dini zingine au hata wasio na dini.
Swala la dini moja kuvutia au kushawishi watu wawe waumini wake lipo tangu dini zimeanza na litaendelea kuwepo. Kitu cha msingi ni kushawishi na si kulazimisha.

Swala la kushawishi waumini wa dini fulani wajitenge na dini nyingine ni kitu cha hatari sana hasa kwa Tanzania ambapo watu wamechanganyika bila kujali dini hata kufikia wakati wa maadhimisho ya sikukuu kubwa za kidini kama Eid na Christmas watu wanasherehekea pamoja. Na hata wakati wa mfungo wa ramadhani baadhi ya wakristu hushiriki kufunga na wenzao.

Watanzania inapaswa tukumbuke kauli ya mwalimu Nyerere aliyosema kuhusu kuvunja muungano Tanzania bara na visiwani.
Alisema wazanzibari wakishavunja muungano dhambi ya ubaguzi itawatafuna; watagundua nje ya muungano kumbe kuna wazanzibari na wazanzibara, waunguja na wapemba nk

Huu mfano umetumiwa vile vile kwenye dini: wakristu wakiwatenga waislamu watagundua kumbe kuna wapentekost, kuna wakatoliki, kuna waanglikana nk na baadae wataanza nao kushambuliana. Na waislamu vivyo hivyo wakishajitenga na wakristu watagundua kumbe kuna washia, kuna waismailia, kuna wasuni nk

Nyerere alikemea udini kwa nguvu zote. Hata Mwinyi nae alikemea udini kwa nguvu zote. Si kwamba hawa marais hawakuwa na dini, wote walikuwa washika dini. Lakini hawakuruhusu kuchanganya dini na siasa.

Kinachotokea sasa hivi viongozi wetu wakuu wameamua kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi ya uroho wa madaraka kuchanganya dini na siasa ili kupata huruma ya waumini. Hali hii ni hatari kwa watanzania wote hata kwa hao viongozi wanaoendekeza udini
 
Write something...
[h=5]Nakma Ahsam
[/h][h=5]NI HAKI YETU WAISLA KUYACHOMA MAKANISA YA MBAGALA.
Sisi waislam tunawaambia watoto wetu kwamba Biblia kitabu kitakatifu cha Mungu na kinafaa kuheshimiwa. WENZETU WAKIRISTO Wanajawajaz mapumba watoto wao kwamba QURANI ni kitabu cha mashetani kinafaa Kukojolewa.
Unanetegemea nini kwa watoto wa KIKIRISTO Wasifanye wanayofundishwa na baba zao, maasko na mapadri wao?
Dawa yao ni kama ile ya Mbagala ni kulipiza kisasi kama kile ili wajue wanayowafundisha watoto yao sio mazui.
[/h]

huyo mtoto alietoka madraasa hakufundishwa kutowatishia wenzie mtaani kuwa ukikojolea quran utakuwa nyoka au mjusi? Kiasi fulani lazima kuna mafundisho kama hayo huko madrasa au kwa wazazi ili watoto waieheshimu na kuogopa quran kwa nia njema tu. lakini mtoto ni mtoto tuuu, angalia yeye anaenda kufanya experiment tena na mtoto mwenziwee, sasa kwa nn moja unamtuhumu kutofunzwa adabu na sio woteee??
Ni utoto tuuuu ndugu zetu, ndio maana tunauliza hizi ghadhabu tokea Zanzbar mara kadhaa na huku mbagala kunaniii fungukeni acheni kujificha nyuma ya vipazia kama hivi.
 
Mods Tafadhali msihamishe huu ujumbe ingawa inaweza kuwa si mahala pake.

Hii msg nimeipata mahala nikaona niilete hapa jf kwa great thinkers kwani ina ujumbe mzuri:

'Tupinge Vurugu Za Kidini.
Waislamu, Wakristu, Wenye dini Zingine na Wasio na Dini Sote Ni Ndugu.

Tunapoadhimisha siku hii ya Mwalimu Nyerere tumuenzi kwa kuungana pamoja kupinga unyanyasaji Wa dini yoyote na tuachane na vurugu zozote za kidini ambazo Matokeo yake zinaweza kuleta vita visivyo na mwisho na kusambaratisha taifa letu.

Mungu ibariki Tanzania. Tafadhali tuma msg hii kwa watu 10 uwapendao wa dini zote.

mkuu vurugu ni tunda la watu kunyimwa haki yao. inawezekana kila mmoja akapata haki yake. timiza wajibu wako.
 
mkuu vurugu ni tunda la watu kunyimwa haki yao. inawezekana kila mmoja akapata haki yake. timiza wajibu wako.

Mkuu mtu yeyote asikudanganye, haki za watanzania hazijawahi kudhurumiwa na kundi la dini yoyote. Waislamu hawajawahi kudhurumu Wakristu na Wakristu hawajawahi kudhurumu Waislamu!

Nchi hii haijawahi kutawaliwa kidini. Kama ni dhurma, basi imefanywa na watawala na wamewafanyia Wakristu na wamewafanyia Waislamu sawa kwa sawa. Rafiki yangu tafakari, tumia akili yako utapata ukweli!
 
Tena Kwa maoni yangu kama nilivyochangia kwenye thread inayomhusu bwana Ponda sikubaliani na mtu wa dini yeyote kufanya fujo, kuua, au kutoa kashfa kwa binadamu mwenzie kwa kisingizio cha kutetea dini yake.

Hivi, nyie watanzania ngoja niwaulize: mnajiharibia Amani yenu kwa sababu ya dini ambazo mmeletewa na wageni? Kwa nini msithamini utanzania wenu kwanza! Udini baadae? Tena baadhi yetu katika hata ukoo mmoja kuna waislamu na wakristu! Wengine mme na mke dini tofauti. Kwa nini we kama una dini yako unayoamini itakufikisha mbinguni kwa nini udharau ya mwenzio?

Mimi narudia tena; nashangaa sana waislamu wanaomfuata Ponda. Ponda hasimamii misingi ya kiislamu, ponda akili yake haiko sawa, ponda ni wale watu kwa Kiingereza wanaitwa psychopath.

Halafu, waungwana kitendo cha mtoto kukojolea msaafu baada ya mabishano na mwenzake chawezaje kuwa ni kitendo cha dini moja kukashifu dini nyingine? Je dini ya kiislamu inatufundisha tuwe na akili za kitoto au ki uwendawazimu kama akili za ponda? La hasha! Dini ya kiislamu ni dini ya kweli ya Allah na inafundisha yaliyo mema kutoka kwa mwenyezi mungu. Kwa hiyo waislamu wa kweli tuachane na vurugu za Ponda kwa sababu ponda hasimamii misingi ya dini ya kiislamu
 
dini zenyewe mliletewa na wakoloni kwenye Mitumbwi, leo hii hamna la maana mnalofanya kutwa kuchwa ni kukashfiana na kudharauliana...
Wenzenu waliowaletea wako makwaoo wanafanya shughuli za maendeleo, nyie kila siku ni tafrani tu, uchumi wa nchi mbovu, maisha yanazidi kuwa magumu kila kukicha aaaggh....

mbaaaav
 
Nimezisoma post nyingi sana zinazohusiana na Mgogoro wa Kuchoma Makanisa pale Mbagala na kwingineko,jambo lililojidhihirisha hapa ni kuwa sisi Watanzania tumeshaanza kuchanganya mambo tena si kwa bahati mbaya bali ni kwa makusudi. Vurugu hizi zimetokea lakini zimechanganyika na misongo ya mawazo waliyonayo watu wengi wanaoishi Dar es Salaam, haiyumkini kuwa wale waliofanya vurugu Mbagala inawezekana nusu ni Waislam na nusu ni Wakristo, nadiriki kutamka hivyo kwa sababu chanzo ni mtoto kukojolea Kitabu Kitakatifu cha Waislam yaani Qur'aan lakini wakati vurugu zilipoanza hakukuwa na tathmini ya kuthibitisha kwamba wale waliokuwa wanashiriki kwenye vurugu hizo wote walikuwa Waislam? Nina lazimika kuamini kuwa kwenye kundi hilo walikuwapo na Wakristo pia, na nia hapo ilikuwa siyo tena kuchoma Kanisa bali kutafuta kitu chochote ambacho kinaweza kuwasaidia kuwapatia maisha kwa siku hiyo. Maisha hivi sasa yamekuwa magumu kupitiliza na ndiyo maana tunashuhudia vurugu na uvunjaji wa amani mara kwa mara. Haiingii akilini kwa kitendo kilichotendwa na mtoto tena wa umri mdogo kije kiibue hasira kwa watu wazima na wenye busara zao mpaka ikapelekea Makanisa kuchomwa na mali nyingi kuharibiwa! Hapo kuna jambo limejificha nyuma ya pazia na jambo hilo si lingine ni NJAA tu inayowasumbua ndugu zangu wa Mbagala na maeneo mengine ya Jiji la Dar. Tubadirike tusihamishe Msongo wetu wa mawazo kutoka eneo moja kwenda eneo lingine bila kuangalia madhara yatokanayo na matendo yetu kwa watu wengine!
 
Embu tujiulize,
1. yule aliyetoa msahafu tumemfanya nini?
2. umri wa mkojoaji.
3. amekuwa mjusi?
8+2=82!
 
Huwezi kupata ufumbuzi bila kujua tatizo la wenzetu waislamu shida yao hasa ni nini. Hizi hasira si za bure, waje mbele waseme bila woga wakristo wanawakwaza wapi ili ijulikane. Hapo muafaka wa amani ya kudumu itapatikana,
Je wanaibiwa na wakristo, wanatukanwa? wananyimwa huduma za shule au hospitali zao? Kama ni ukafri na kutaka wakristo wasilimu kwa lazima, HIYO NI JIHAD NA HAINA MWISHO HADI KIAMA MAANA HILO HALIWEZEKANI KWA MKRISTO!


Hawakwazwi lolote bana,hawa watu ni kawaida yao kuishi kwa vurugu.Mfano mzuri cheki hata nchi wanamokaa wenyewe tafrani haziishi.Solution serikali ikishindwa kuwadibithi basi christians itabidi tuchukue jukumu hilo but for now patience first.
 
Back
Top Bottom