Huyu hawezi kuja kujenga familia bora yenye maadili mema na hofu ya Mungu, akiweza kivaa kimini basi anaweza vaa chupi hata tight na akatembea bila kujali..
Mfano kaa mbele ya mtu aliyevaa kimini akiwa amekaa, ukiwa makini kumtazama waweza jua rangi ya chupi aliyovaa