EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,716
- Thread starter
-
- #21
Anda twenti faivu ruksa kuwa na mademu ya kushato, kuvaa hereni , nguo za kuchanika,. Na yanayohusiana.
Anyway ngoja nisabuskraibu nitasoma nikifikisha 25 iazi, .
HAPANIHUSU HAPA
Hahahahaha mzee wa kudesa huyu
Nimekudaba leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nayasaka madini nawaletea watu wangu sio rahisi mjue ohoo..!
Mkuu hayo yote hayana maana kwa mwanaume, nguvu ya mwanaume ni pesa tu
Tafuta pesa mkuu hizo habari za kuhadithiana... Diamond yuko kundi gani?Umesoma vizuri lakini. Kuna mambi ya Mungu humu.
Hebu rudia. Pesa matokeo mdogo angu
Tafuta pesa mkuu hizo habari za kuhadithiana... Diamond yuko kundi gani?
Kweli mkuu but tukubaliane hata uvae magunia Ila una dollari na mahelleni kibao, plus kiduku hapa town raha zote utapataTafuta mkuu hata mi nazisaka ila kushauriana sio mbaya
Read between the lines, pesa ipo.Chakuongezea....kama huna pesa yote hayo hayatakua na msaada kwako kwani japo pesa hainunui furaha umaskini nao haununui chochote..tafuta pesa tafuteni pesa..
Ndio maana nimehisi kama nishawahi kuona hili andiko, tena sijui ni humu humu[emoji134]Akwambie na alipoikopi
hawa ndo wale waigiliziaji wa mitihani halafu tokeo likitoka amemzidi hadi aliyemuigilizia
Read between the lines, pesa ipo.
Hawawezi kufika hapa na wakifika tegemea kuigiza ni watakatifuNimependa namba5 na 8.
Wenye masikio na wasikie na wayafanyie kazi. Haya nyie viboro dinda mnaojisifiaga upuuzi kujeni hapa mpate chakula cha roho na akili.
Ndio maana nimehisi kama nishawahi kuona hili andiko, tena sijui ni humu humu[emoji134]
Kweli mkuu but tukubaliane hata uvae magunia Ila una dollari na mahelleni kibao, plus kiduku hapa town raha zote utapata
Leo kuna sehemu nimeshuhudia hii kitu,inaathiri vipi katika ndoaNyongeza
###Usioe mwanamke mwenye ujasiri wa kuvaa kimini kisha akatembea na kukaa kwenye kadamnasi bila kujali na wala kuwa na aibu yoyote ile