Marconho
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 287
- 445
Umepata Bwana, umempenda kweli kweli, umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi, akakupeleka.
Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu Siku ya kwanza umeshinda Unachati, siku ya pili umeshinda unachati tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni kumbe wao wanakutazama tu na kukupimia wala hawakwambii kitu.
Siku ya tatu wanakwambia leo ni zamu yako kupika, unaingia jikoni unaona kila kitu kigeni, vya huku unaweka kule, vya kule unaweka huku (Yaani hujui kupika chochote).
Sufuria unashika kama umeshika Power Bank, unapika na lipstick, mdomo mwekunduuu utafikiri mtoto wa jini katoka kufundishwa kunyonya damu tena huku umevaa saa, umevaa Culture zimejaa nusu ya mkono, umevaa miniskirt kama wafanyakazi wa Emirates.
Msosi wa wakwe huwezi kupika, ukiambiwa hufai kuolewa unavuta midomo utafikiri umenyimwa USB cable ubust smartphone yako, unaanza kulalamika wakwe hawakupendi, unalalamika wee, unashindwa kuelewa kuwa wewe ndio tatizo.
usitake kuolewa ukidhani mumeo atakula chips na wewe utakuwa unakula pizza kila siku, jifunze hata kuchemsha chai basi au unadhani Google Wataleta Apps ambazo unaweka USB kwenye simu yako halafu Unaielekezea kwenye sahani inaproduce msosi.
#JIPANGE DADA usidhani Ndoa Ni Kama Kupiga Selfie