Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama kifo uwe masikini au tajiri na kama masikini kacha nyumba bila usia basi ni kosa watoto kupigana na kurogana kuwa machizi na tajiri na ubahili wake basi mali zote hupotea bila habari au huja watu baki na kuzichota hujifanya wana familia na hii ishatokea