Ujumbe mahsusi kwa chifu mkuu wa ukoo wetu

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,305
12,969
Hata mwaka hajamaliza katika uchifu wa kurithi lakini keshatangaza kuutaka uchifu 2025 wanaukoo tutakapo kaa kumchagua chifu kama taratibu za ukoo zinavyo taka. Sasa hapa uchumi utajengwa saa ngapi kama sio kutumia muda mwingi kupambana na wanaopinga ndani ya ukoo na nje ya ukoo?
FB_IMG_16318519930142315.jpeg
 
Hata mwaka hajamaliza katika uchifu wa kurithi lakini keshatangaza kuutaka uchifu 2025 wanaukoo tutakapo kaa kumchagua chifu kama taratibu za ukoo zinavyo taka. Sasa hapa uchumi utajengwa saa ngapi kama sio kutumia muda mwingi kupambana na wanaopinga ndani ya ukoo na nje ya ukoo?View attachment 1944561
Acha tu Wazungu waendelee kututimulia vumbi kwenye suala zima la maendeleo. Maana Machifu na Watemi wengi wa Kiafrika, akili zao wanazijua wenyewe.
 
Back
Top Bottom