Ujumbe maalumu kwa wale mnaopendwa afu hampendeki.

Ujumbe maalumu kwa wale mnaopendwa afu hampendeki.

Kabisa, lazima ukifanyie tathmini.....
Huwezi kujiforce kwa mtu usiyempenda

Inaweza kutokea kweli ukapendwa na mtu lakini ukawa hujampenda huyo anayekupenda....hili sio suala la kumlaumu anayependwa

Yani kupendwa na usiyempenda ni usumbufu mixer kuhisi kukereka tu kila muda akigusia masuala ya mapenzi
 
Mimi ninalilia penzi, wewe unachezea penzi
Daah unajua huwa naona wivu sana hasa pale napoona wapendanao wamekaa somewhere wakipeana mapenzi, mahaba, wakienjoy pamoja daah huwa inaniuma sana wivu unanijaa kama wote, nataman coz sijawai bahatika kupata upendo kama huo. Maisha yangu ya r/ships ni history tosha, ndomana niliamua kuwa mtu wa kuhit na kurun.

Sasa unkuta kuna boya au falafala flan anapewa penzi yani kilakitu anapendwa ila anazingua anamwona uyo mtu kama anampotezea muda anamwona kinyaa. Jaman jaman malipo ni hapahapa duniani unayomfanyia mwenzako na wewe utafanyiwa tu.

Mtu anaona maisha hayana maana bila penzi lako ila unaleta ushenzi, kuna watu hatujawai pata bahat kama iyo na tunatamani sana tupate mtu mwenye true love lakn hatupati tunaishia kuumia tu

Embu fikiria mtu anajitoa kwako kwa kila kitu ila mwsho wa siku unamuumiza daah inahuzunisha sana. Remember fortune does not repeat twice

Me nalilia penzi wewe unachezea penzi anakupa mapenzi wewe unaleta ushenzi. Utakuja juta. KARMA IS A BITCH.

I know the pain. Ila yupo mtu sahihi kwa ajili yako, watu wengi huchange pale wanapofeel kupendwa. Huwa wanapata kichwa, ila hakuna jambo lisilo na mwisho. Sali sana na Mungu atakufunulia yule wa kweli.
 
kuna manzi aliniaminiaga kipindi hiko nasoma, aliniaminia sana akanchana nkamtolea nje maana mi nlikua sina hisia nae kabisa namuona kama rafiki tu

ilifika hatua akaamua kuja adi kihom akawachana masister wamsaidie kunielekeza kidume nkakaza as usual aliumia sana adi nahisi aliniachia laana tangu nimchomolee nje yeye sijawai pata mtu anaenipenda kweli adi huwa najuta some time huwa nafikiria bora ningemuigizia tu niwe nae huenda hisia zingekuja mbele kwa mbele

Key point kwene mapenz hata kama mtu humpendi jaribu kumuigizia tu usimkatae mazima inauma sana barnaba anasema bwagasha mdogo mdogo mkubalie ila mfanyie vitu ambavyo hapendi ili ajiengue mwenyewe
Unajiita maji ya gundu maana yake maisha yako yote unaishi kwa hofu ya kupata gundu tu.
Huyo manzi ulitemtema hausiki na chochote. Kinachokutesa ni fikra zako tu.
 
Mimi ninalilia penzi, wewe unachezea penzi
Daah unajua huwa naona wivu sana hasa pale napoona wapendanao wamekaa somewhere wakipeana mapenzi, mahaba, wakienjoy pamoja daah huwa inaniuma sana wivu unanijaa kama wote, nataman coz sijawai bahatika kupata upendo kama huo. Maisha yangu ya r/ships ni history tosha, ndomana niliamua kuwa mtu wa kuhit na kurun.

Sasa unkuta kuna boya au falafala flan anapewa penzi yani kilakitu anapendwa ila anazingua anamwona uyo mtu kama anampotezea muda anamwona kinyaa. Jaman jaman malipo ni hapahapa duniani unayomfanyia mwenzako na wewe utafanyiwa tu.

Mtu anaona maisha hayana maana bila penzi lako ila unaleta ushenzi, kuna watu hatujawai pata bahat kama iyo na tunatamani sana tupate mtu mwenye true love lakn hatupati tunaishia kuumia tu

Embu fikiria mtu anajitoa kwako kwa kila kitu ila mwsho wa siku unamuumiza daah inahuzunisha sana. Remember fortune does not repeat twice

Me nalilia penzi wewe unachezea penzi anakupa mapenzi wewe unaleta ushenzi. Utakuja juta. KARMA IS A BITCH.
love is bullshit usije kuijidanganya kuona watu wanapendana eti mahaba ukaamin kwamba ni ya kweli...they are just do something you did before becoming a hit and run kwasababu siku za kwanza ulidanganywa ukaamin then ukatupwa baharini ndicho wanachofanyiwa hao unaona na mapenzi na mahaba.....think of this hivi we uliona wapi mtu anapendwa na moyo wa mtu mwingine...love is something we just create ourselves i mean human beings so we dont die from daily chaos of life,,,key point is mating and reproducing but all of this is bullshit
 
Unajiita maji ya gundu maana yake maisha yako yote unaishi kwa hofu ya kupata gundu tu.
Huyo manzi ulitemtema hausiki na chochote. Kinachokutesa ni fikra zako tu.
Huo ni mtazamo wako hauna uhalisia wowote na maisha yangu
 
Back
Top Bottom