Ujumbe kwa wizara ya viwanda na biashara

sbikore

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
535
191
Ni kweli ni agizo la serikali kwa kila mfanyabiashara kulipia mapato na pia lessen za biashara ili kuinua pato la taifa...'Ni vyema'ila kuna tatizo moja naliona linaweza kosesha ufanisi wa zoezi hili hasa kwa upande wa leseni.
Wafanyabiashara wengi hasa wa vijijin wapo mbali sana na maene zinakopatikana huduma(ofisi za aafisa biashara)kias kwamba inamtia mteja uvivu kusafir umbali mkubwa sana ktk zoezi na ukizungatia kwamba malipo halali ya lessen'basic' ni elfu 15 kwa mfano,na wakati huo nauli tu ya mteja kusafiri kuifuata hudumu ni zaidi hata ya kiwango hicho cha malipo.
Tahadhari'""hali hii itapelekea usumbufu kati ya mteja na serikali mwisho upande mmoja uone kama kuna ukaidi wa maagizo ya serikali na hasa rais wetu tunayempenda,kumbe sii dhana kabisa ya mtanzania.
Ushairi wangu kwa serikali ni kwamba kungefanyika uwezekano wa matawi kwa kila kata nchin ya ofisi za biashara ili kujenga miundombinu ya ukaribu wa anakopatikana mteja na ili mwisho wa siku watanzania wote waweze kukidhi akidi ya biashar

Naomba kuwasilisha
By smg
Note:Naomba michango muhimu na mizaha maana ni kwa manufaa ya watanzania wote.
 
Back
Top Bottom