Unazungzia ..mwanamke kwa ajili ya mwanaume yoyote? Au mwanamke yoyote kwa ajili ya mwanaume?HAKUNA MWANAMKE MKOROFI KWA MWANAUME MWENYE HELA
Ndukiiiii![]()
nakazia na meno .😅HAKUNA MWANAMKE MKOROFI KWA MWANAUME MWENYE HELA 😉🤣🤣
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Niliwahi kusikia mahali kama mke analipwa 200,000/= na mume analipwa 50,000/= ukijumlisha hayo mapato bado utapata 50,000/=Unazungzia ..mwanamke kwa ajili ya mwanaume yoyote? Au mwanamke yoyote kwa ajili ya mwanaume?
Vipi kuhusu Wanawake wale ambao kiuchumi wako vzuriiii sana????.
😂😂 Asante 👏Na hakuna unyenyekevu kwa asiye na kitu muhimu cha 'kuoffer'.
"Na FEDHA huleta jawabu la mambo yote" Mhubiri 10 : 19b.
sasa wewe kuwa kma msomi basi hii post yako inasoma na njinsia zote yani mume na mkee sasa wewe unavyosema *nyie wenye wowo* ina maana gani mkuu si dharau hizo bossNa Mimi ujumbe wangu
NAWEPENDA SANA WOTE ILA HASA NYIE WENYE WOWOO
Acha kuwa kama mnyasa INA maana hujui maana ya wowo na ufahari wake akiwa nayo female humanoid ?sasa wewe kuwa kma msomi basi hii post yako inasoma na njinsia zote yani mume na mkee sasa wewe unavyosema *nyie wenye wowo* ina maana gani mkuu si dharau hizo boss
Niliwahi kusikia mahali kama mke analipwa 200,000/= na mume analipwa 50,000/= ukijumlisha hayo mapato bado utapata 50,000/=
Wataalamu wa hesabu watusaidie hii inawezekanaje
Amina!Na hakuna unyenyekevu kwa asiye na kitu muhimu cha 'kuoffer'.
"Na FEDHA huleta jawabu la mambo yote" Mhubiri 10 : 19b.
Nakuahidi hicho kilevi nilichotumia siku naandika hiyo 'komenti' nimekistaafisha rasmi.Amina!