Ujumbe kwa wanaume wanachuo

Nimepangisha wanachuo hapa yaan wenyewe iwe mchana au usiku ni kugegedana tu sijui hata wanasoma kwel.
 
Nafikiri elimu na ushauri uelekezwe zaidi kwa hao mabint, coz sio kama wanabakwa, bali wanakubali wenyewe maisha hayo. Tena hata mwezi hajamaliza tangu ajiunge na chuo, tayari anaingia mahusiano kama vile ni moja ya sifa za hostel. Na mbaya zaidi watatumia condom siku ya kwanza tu, then anaachia jamaa amwagilia yai lipevuke akameze vidonge vya kuzuia au kutoa mimba! Ila marafiki huko chuoni nao wanawaharibu kweli wasichana wenzao. Maoni yangu.
 

Nia mpango wa kwenda Chuo mwakani,kumbe ndio mambo yenyewe.Duh,ngoja nijipande kuwachuna mabazazi.
 
Tafadhari nielekeze hata kwa pm ni wapi upuuzi huu unafanyikia, kisha nitaleta mrejesho baada ya kutimiza hatua nnayotaka kuchukua.

Very disgusting!!
 
Kuna mmoja nilimshuhudia kipindi nasoma alikuwa cheti CBE pale anapigwa wenzake wanafwata wanamleta hostel amevimba kapasuliwa sijui alikuwa anapigwa na nini yule anametoboka mara kachanika tena usoni na mwilini ila bwana alikuwa sio mwanafunzi na uyo binti alimpindua shoga yake akakaa yeye
Nilikuwa simpi pole maana ulikuwa upuuzi anapigwa anaondoka akipona anarudi wanakaa wiki2 kipigo cha haja anarudi hostel kuugulia then anarudi kwa mchuchu yule binti sitamsahau alikuwa hajitambui hataaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…