Ujumbe kwa wanaJamiiForums wote

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
2,437
Reaction score
1,100
Habari ndugu wote!!! jamani naomba kila mwana JF aweze kutoa taarifa za mambo yanaotokea au kufanyika mahali ulipo.

Pia muhimu wanaJF walio karibu kufahamiana ili kutoa habari na kujulishana kama kuna tukio mahali.

Mfano: Mimi nipo Kilombero kwa hiyo, ni vema tukajuana, na wengne pia.

NATOA MAONI
 
habar ndugu wote!!! jaman naomba kila mwana jf aweze kutoa taarifa za mambo yanaotokea au kufanyika mahali ulipo

Mimi Muda Huu Huu Nashuhudia Hapa Kuku Jike Na Jogoo Wakigegedana. Hiyo Ndiyo Taarifa Yangu Mkuu Kutokea Hapa Mahala Nilipo.
 
habar ndugu wote!!! jaman naomba kila mwana jf aweze kutoa taarifa za mambo yanaotokea au kufanyika mahali ulipo
Hapa nilipo sasa hivi kuna vijana wanacheza karata.
Pembeni yao kuna dogo anakula ubuyu!
 
mchungaji Illovo umerudi tena
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wazo lako ni zuri lkn humu huwezi kueleweka vzr coz watu wanapenda faragha na uhuru wa kutoa maoni sasa ukileta kujuana tena na kufahamiana sijui itakuwaje?
 

Huyu naye fuata maelekezo.
Tuma meseji.
Unapenda kujuana Juana.
Eboo.
 

Mimi nipo hapa K1 kwenye bodaboda nimesimamishwa na Ma KK wa Illovo, pembeni kuna vibarua wa Ilovo wanakata miwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…