Ujumbe kwa wana mmu


Hivi unavyotafuta partner / companion ni ili muwe mbalimbali ?,
Hukatazwi kufanya mambo tofauti ila mambo hayo yanapomjumuisha na mtu mwingine hakikisha hauwi kero kwa huyo mwenzako..

Hukatazwi kutembea uchi ukiamua ndani ya chumba chako ukiwa peke yako.., ila unapokuwa na watu wengine kutembea kwako uchi kunapokera wengine huo sio ustaarabu. Kunapokuwa na miadi kwamba utakuwepo kwenye issue fulani busara ni kusema hautakuwepo na sio kuacha kwenda bila taarifa (surprise) unaweza ukakwamisha mipango ya watu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…