Limekupata la jicho bila shaka..Hata wanaume wapo pia usikashifu wanawake tu.
Nashukru kama umepita huku utaanza kuona mwanga juu ya real life na fakelife.Ujumbe mzuri mkuu. Mwenye macho na aone.
Mbavu zangu jaman.....Hapa najua MAMA SABRINA, MISS NATAFUTA, MZIGUA, DEMISS, KASIE, DINAZEE, EVELYNE SALT, MADAM B, na madanga wengine wa maarufu wa mtaa huu wa Jf kamwe hawatapita njia hii...!
Hujaelewa Le kokobanga?Sasa ndio umeandika manini hayo..empty set