Ujumbe kwa mnaooingia Vyuo Vikuu

Ujumbe kwa mnaooingia Vyuo Vikuu

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,824
Reaction score
3,021
Ningependa kuanza na pongezi; mana si kazi nyepesi, kuna wengi waliojaribu kufika mlipo ila imeshindikana. Basi; hapa sina mengi tuu bali mambo makuu 3 ya kuzingatia wakati muwapo chuoni.

Nazungumza kutoka kwenye uzoefu. Lets move

Maarifa hayaambatani tu na kile unachojifunza ukiwa darasani, haina maana wapaswa kukomaa kusoma kile tu unachopaswa kusoma; wakati unaengia chuo, tafadhali sana jizoeze kusoma vitabu; nimesema jizoeze kwa sababu kusoma vitabu sio tabia mtu anayo zaliwa nayo (silka) ni tabia ya kujipa mwenyewe (hulka)

Soma vitabu vya:
1. Financial education
2. Leadership
3. Gender
4. Personal growth
5. Vitabu vya imani yako.

Kuna wale wenye mikopo;ndugu zangu mtakutana na 200,000 Tshs kama pesa ya manunuzi ya vitabu na vifaa wezeshi vya kusomea, kama utaweza, narudia, kama utaweza, usiiishie tu kununua materials za kozi yako. Jitahidi kutawafuta watu wenye ujuzi wa haya
1. Kompyuta msingi
2. Masoko
3. Kompyuta/simu ufundi
n.k
Walipe wakupe ujuzi wowote ule.

Usiishie kusoma tuu kozi yako; maisha hayahitaji hayo. Jifunze PUBLIC SPEAKING itakusaidia sana. Jiunge na mashirika, kaa na wajasiriamali bila kusahau penda na heshimu unachokisomea.

Fanya yote ila tambua ya kuwa; watu ndio watakaokupa maisha aidha ujiajiri au uajiriwe; jifunze kukaa na watu. Napendekeza kitabu cha It’s Who You Know, kusisitiza jambo hili.

Nina mengi kusema, lakini kwa leo nipumzika hapa.

Ahsanteni.
 
Fanya yote ila tambua ya kuwa; watu ndio watakaokupa maisha aidha ujiajiri au uajiriwe; jifunze kukaa na watu. Napendekeza kitabu cha Who You Know Matters, kusisitiza jambo hili.

Nina mengi kusema, lakini kwa leo nipumzika hapa.

Ahsanteni.

Naomba Kitume hapa hicho kitabu . Maana nakitafuta Google sikioni
 
Ningependa kuanza na pongezi; mana si kazi nyepesi, kuna wengi waliojaribu kufika mlipo ila imeshindikana. Basi; hapa sina mengi tuu bali mambo makuu 3 ya kuzingatia wakati muwapo chuoni.

Nazungumza kutoka kwenye uzoefu. Lets move

Maarifa hayaambatani tu na kile unachojifunza ukiwa darasani, haina maana wapaswa kukomaa kusoma kile tu unachopaswa kusoma; wakati unaengia chuo, tafadhali sana jizoeze kusoma vitabu; nimesema jizoeze kwa sababu kusoma vitabu sio tabia mtu anayo zaliwa nayo (silka) ni tabia ya kujipa mwenyewe (hulka)

Soma vitabu vya:
1. Financial education
2. Leadership
3. Gender
4. Personal growth
5. Vitabu vya imani yako.

Kuna wale wenye mikopo;ndugu zangu mtakutana na 200,000 Tshs kama pesa ya manunuzi ya vitabu na vifaa wezeshi vya kusomea, kama utaweza, narudia, kama utaweza, usiiishie tu kununua materials za kozi yako. Jitahidi kutawafuta watu wenye ujuzi wa haya
1. Kompyuta msingi
2. Masoko
3. Kompyuta/simu ufundi
n.k
Walipe wakupe ujuzi wowote ule.

Usiishie kusoma tuu kozi yako; maisha hayahitaji hayo. Jifunze PUBLIC SPEAKING itakusaidia sana. Jiunge na mashirika, kaa na wajasiriamali bila kusahau penda na heshimu unachokisomea.

Fanya yote ila tambua ya kuwa; watu ndio watakaokupa maisha aidha ujiajiri au uajiriwe; jifunze kukaa na watu. Napendekeza kitabu cha It’s Who You Know, kusisitiza jambo hili.

Nina mengi kusema, lakini kwa leo nipumzika hapa.

Ahsanteni.

Soma kitabu cha Robert Greene kiitwacho Mastery.

Kuhusu vitabu vya Gender, soma vyote: vya mrengo wa kushoto na vya mrengo wa kulia.
 
Back
Top Bottom